Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

Mkishakuwa desperate hasa mkiona umri unaenda hata passo huna unaanza ponda usafiri wa watu…

Nenda ugoogle, ni most selling sub compact cars in japan car manufacturing history..

Mm situmii ist bt i do respect tht model cz kaz kubwa ilifanyika....

Ww endelea kupigana vkumbo n mamazako wadogo kwny mwendokasi
 
No,kila mtu anamtazamo wake kiongozi mi nilishasema bora nisinunue gari nijue moja tu.
Ila nimeanza na harrier atleast kwangu
 

Ukiona mtu anaponda gari yoyote iwe passo, Ist nk jua tu huyo hamiliki hata baiskeli
au pengine ni limbukeni amenunua kagari chakavu hapa nchini sasa anajiona mjanja.
Watu makini na wanao jua maana ya usafiri na umuhimu wake hawawezi kudharau usafiri wa mtu mwingine hata ungekuwa pikipiki...
 
Nyumba ya kumalizia inauzwa kwa 8.5m
Ipo vikindu kilometa 1 toka barabara kuu
Kiwanja futi 40 kwa 40
Chumba kimoja kimekamilika madirisha, mlango, plasta, wiring na choo cha nje
Kwa maelezo zaidi piga 0759 911995
 

Attachments

  • Screenshot_20230724-153614.png
    3 MB · Views: 6
Nyumba ya kumalizia inauzwa kwa 8.5m
Ipo vikindu kilometa 1 toka barabara kuu
Kiwanja futi 40 kwa 40
Chumba kimoja kimekamilika madirisha, mlango, plasta, wiring na choo cha nje
Kwa maelezo zaidi piga 0759 911995
Kiwanja ni 40 kwa 50 futi.. Kuna msingi wa chumba kimoja uani na eneo limebaki
Ramani yake ni chumba, sebule, jiko na kibaraza
 
Nadhani ungefika hata m 10 ungekuwa na uwanda mpana wa kuchagua
 
Kabisa ndugu, tz kunawatu malimbukeni sn, eti mtu na akili zako kabisa unasema bora upande daladala kuliko kumiliki vits, passo etc… ss huyu n mzima kweli?

Siku tukifahamu kuwa gari n hitaji la msingi la kibinadamu na sio showoff km wengine wanavyodhana tutabadili mitazamo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…