Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
mkuu unaangalia pia nagari yakuifanyia hivyo😕Dunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?
Ulishindwa nini kufunga gps tracker?
Wizi wa kuaminiwa...Dunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?
Ulishindwa nini kufunga gps tracker?
Tupe jina la huyo uliyemuamini na kumpa gari Hadi akaondoka nalo kiurahisi. Hiyo itasaidia katika kuwajua watu wa aina hiyo.Wizi wa kuaminiwa...
Pole kiongozi,Wizi wa kuaminiwa...
spare parts.. unakuta hiyo imeishia huko huko tabata mzee.. imeisha katwa katwaa vipande vipandeDuuh watu wanaiba aisee hawachagui hawabagui wao wana beba tuu
Nani kakwambia gps inazuia wezi unawajua wabongo au unawasikia.Dunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?
Ulishindwa nini kufunga gps tracker?
Huwa yanakatwa screpa kuuzwa spareHio Gari Bado iko DSM mkuu, haijavuka kwenda mkoanii
Nissan zina low demand, ni ngumu sana kuibiwa. Labda kuna sinema inachezwaDunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?
Ulishindwa nini kufunga gps tracker?
Inawezekana pia wanakuibia ili wakukomoe...aliyeibiwa angaalieHuwa yanakatwa screpa kuuzwa spare
Possible maana hata Hilo Nissan utamuuzia nani pili spea utamuuzia nani zaidi ya kupigwa vumbi stooInawezekana pia wanakuibia ili wakukomoe...aliyeibiwa angaalie
Watu anaokuwa nao aliishi vipi nao
Ova
Daah Dunia jinsi ilivyofunguka unadhani magari yanayoibiwa hawafungi hizo GPS gari inafungwa na hiyo tracker wafanyakazi wanauza password kwa wezi unakuta Ford ila ina tracker ya Toyota na Ford na bado wezi wanaiba na tracker zako watazifukia sehemu wajanja wanachezea sana Technology aisee...Dunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?
Ulishindwa nini kufunga gps tracker?