Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa.

Aina ya gari: Nissan Gloria

No za usajili T887 CKW

Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam.

Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi.

Ahsante kwa ushirikiano.

Wako

Mmiliki, Bemendazole

View attachment 2745647
View attachment 2745650
Weka kiasi cha hilo donge nono hadharani na namba yako ya simu vijana tuingie kazini mlango kwa mlango mpaka kitaeweka.
 
Kuna jamaa nilimtania nikamwambia gari langu nataka niandike jina langu kwenye plate number, jamaa alinijibu, watu watakuita kichaa.
gari yakujiandika jina at list ianzie million mia kuendelea.sio million hamsini au kumi unaandika jina hata trafik watakusumbua sana tuu.
 
Back
Top Bottom