Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

Kuna jamaa nilimtania nikamwambia gari langu nataka niandike jina langu kwenye plate number, jamaa alinijibu, watu watakuita kichaa.
Kuna jamaa nilikuta kaeka jina kwenye Nissan Dualis Nilichoka.
 
mhhh! [emoji848] pole sana mkuu.
 
Dawa ni kuweka bima gari ikiibiwa bima ikurudishie. Hayo ma gps hata watoto wa kindergarten wanaharibu.
 
Kwahiyo wewe unaweza kuacha Nyumba yako mlango wazi kisa kufuli hua zinavunjwa na wezi?
Siwezi fanya hivyo, lakini ujuwe, kwa issue ya hilo gari, imeshaibiwa na mwizi haweza acha GPRS iwe active huku anajua inasema gari ilipo..!! Ataiharibu tu. Kwanza ujuwe, wezi wa siku hizi kabla hawajafanya tukio, wanafanya upembuzi yakinifu kujua mienendo yako na gari yako..!!
 
LIKUD huu Uzi hawezi Kuuchangia kwani pamoja na Kutamba ni Mtoto wa Mjini na Amesoma ila mpaka sasa ana Miaka 59 si tu hana Gari bali hata Baiskeli tu hajawahi kuwa nayo / Kuimiliki.
 
Unatakiwa utambue kwamba,kufuli au gps haimfanyi mwizi kutotimiza lengo lake bali humpa ugumu wa kutimiza lengo lake,

Hata hiyo simu yako kama umeweka Password basi tambua kua wapo wataalamu ambao wataweza kuifungua,

Duniani hakuna security ambayo ni 100% safe but hiyo haitufanyi kutokuweka security system kwenye vifaa vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…