Brother sijui uko mkoa gani na sijui movement zako zikoje from one point to the next.
Kama unakuwa mtu wa safari ndefu na zinazocombine barabara ya lami na ya vumbi,nakushauri jitie ktk Rav 4 Old model milango mitano,achana na kile kipisi.
Rav 4 old model nyingi zina Cc 1990-1998(2000).with 3S ambayo ni kati ta engine bora sana na zinazovumilia misukosuko mingi.
Pili aliyezitengeneza ameweka mabomba flan kwa ajili ya kukulinda kama itatokea impact au kupinduka,Mabomba hayo ni kama tanayowekwa ktk gari za mashindani huwa yako ndani ya milango ya mbele na nyuma.
Zina 4wheels,Automatic transmission 4wheel yake ina sensor kwamba ukikwama sensor ina send message ktk control box na ina jii engage automatically.
Ila Manual Transmission ina 4wheel button so ukiingia kwa tope unabonyeza tu unakata maji kama fibre boat.
Naijua Rav 4 Old Model.napanda milima na mabonde bila shida,fuel consumption ni 11 km per liter.Bro karibu ktk Ulimwengu wa Rav 4 old model ACHANA na Kili time.