quadraqoraman
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 105
- 89
Mi naomba kidogo nipate info ya Suzuki Kei, upatikanaji wa spea parts na bei za hizo spea,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha juzi wameng'oa ule urembo wa kwenye milango kama mkanda wa gari yangu na ilikua na viribiti vya kutosha.
halafu baba taa ya nyuma na bamper huwezi weka ribiti. halafu side mirror nilisahau kutaja huwa wanang'oa jumla hawatoi kile cha ndani tena wanatoa gari inabaki kama paka aliyekatwa masikio.
Mzigo unanyonya wese kama harrier yan..Daka ipsum
2400IPSUM si ina CC kama 2000 Hivi au
Mimi ni kijana mwenzenu nataka kununua gari, na katika kupitita pitia kwenye mitandao nimekutana na aina hii ya gari TOYOTA RAUM, na nimeipenda na na nataka kuinunua, ila kabda sijafanya hivyo naomba nipate ushauri kutoka kwenu.
Na muonekano nao unamatter, hata ukikaa home unamuangalia 'mtoto' unajidai. Raum na Spacio zina sura mbayaUsinunue gari kwa show yake angalia availability ya spear zake ili usijelia bdae!
hapo kwenye mlango na mimi huwa nakwazika kweli kweli!shape yake mbaya mlango kama wa daladala chagua ingine.
vipi kiongozi kwa nini four wheel haifai kwa safari ndefu!Same case applies to this one ila angalizo nakupa moja tu! usinunue za four wheel Drive kama una mpango wa kuitumia katika safari ndefu! but kama ni kwa matumizi ya hapa mjini hata zenye four wheel ni okay.