Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

View attachment 1701902wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
Ulinganifu wako, unaonesha kuna mahala una shida . Ukisha ona gari ina beinkubwa kuliko ingine maaana yake hazifanani, kuanzia Tech etc. Sasa unaanzaje linganisha hapo ? Linganisha zenye bei sawa na tech sawa * ukaribiano *. Kuna gari version au tech comapny flani inakuwa imefikia na company flani haijafika au imefika ila huenda sio soko alilo jiandaa nalo
 
Mtu anashindanisha S-class vs Crown hybrid?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unajua hata unacho kishindanisha aiseee.

Kumbe competitor wa S-class ni Crown hybrid?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hamna anacho elewe, ni shabiki tu huyo. Mjopana ana version ya gari zake na ana aina ya wateja ame focus. Ulinganisho wake wa bei ndio nimeona haelewi anachofanya
 
Vijana tafuteni maarifa la sivyo mtakuja kuumbuka mbele ya wanaume.

Ngoja nikusaidie ku convert hizo € kwenda kwny $ ujionee utamu wa mjapani pale anapoamua kuonyesha umwamba wake.

Hio gari inayouzwa €745,000 = $902,976
Hio gari inayouzwa €605,858= $734,329
Hio gari inayouzwa €567,093= $687,344.
Hio gari inayouzwa €512,756 = $621,485

Yaani hapo gari ya pesa ndogo ni ya $621,485 [emoji23][emoji6][emoji6][emoji54],mpk hapo Germany machine a.ka Sijui monster a.ka nini sijui kapigwa bila wese.

View attachment 1701927View attachment 1701928View attachment 1701929View attachment 1701930View attachment 1701931
Extrovert
Holy Man
Umemaliza kila kitu. Shida hawa wajerumni wa jf, hawafikiri vizuri na hata ulinganishi wao ni wa ajabu ajabu sana. Nimeisha wapuuza tu
 
View attachment 1701902
Vijana tafuteni maarifa la sivyo mtakuja kuumbuka mbele ya wanaume.

Ngoja nikusaidie ku convert hizo € kwenda kwny $ ujionee utamu wa mjapani pale anapoamua kuonyesha umwamba wake.

Hio gari inayouzwa €745,000 = $902,976
Hio gari inayouzwa €605,858= $734,329
Hio gari inayouzwa €567,093= $687,344.
Hio gari inayouzwa €512,756 = $621,485

Yaani hapo gari ya pesa ndogo ni ya $621,485 [emoji23][emoji6][emoji6][emoji54],mpk hapo Germany machine a.ka Sijui monster a.ka nini sijui kapigwa bila wese.

View attachment 1701927View attachment 1701928View attachment 1701929View attachment 1701930View attachment 1701931
Extrovert
Holy Man

wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
Gap refu sana gari ya Mjerumani ya 2020 ni 1.15 billion TZS halafu Mjapani ana gari la 2019 bei 2.09 billion. TZS 😀😀😀😀 German machine my foot
 
1613272662704.png
1613272830568.png

1613272872714.png

1613272999519.png

1613273124906.png

Sisi wa uchumi wa kati hizo BMW ni sawa na kujibebesha gunia la misumari tu, ni tatizo Duniani kote. Top 10 Best Luxury Cars (2020 Update) - The Most Luxurious Cars (UK) • Motorway
 
😆😆 Uko parefu sana mkuu,nilipanga nichukue bmw x3 ila naona bora nichukue Nissan fuga la 2018 nimeangalia kikokotoo cha tra Kodi wanataka mil 10 tu ,Kodi ndogo mpka nimeshangaa
Na japenga wana iuza bei gani ?
 
Back
Top Bottom