Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

View attachment 1701902wanazi wenzangu wa Toyota nawapa home work mnitafutie gari used iwe toyota, Lexus au Nissan inayozidi hiyo bei ya Mercedes Benz.
Ifikie hatua tuwe tunaheshimu wakubwa zetu
Ulinganifu wako, unaonesha kuna mahala una shida . Ukisha ona gari ina beinkubwa kuliko ingine maaana yake hazifanani, kuanzia Tech etc. Sasa unaanzaje linganisha hapo ? Linganisha zenye bei sawa na tech sawa * ukaribiano *. Kuna gari version au tech comapny flani inakuwa imefikia na company flani haijafika au imefika ila huenda sio soko alilo jiandaa nalo
 
Mtu anashindanisha S-class vs Crown hybrid?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unajua hata unacho kishindanisha aiseee.

Kumbe competitor wa S-class ni Crown hybrid?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hamna anacho elewe, ni shabiki tu huyo. Mjopana ana version ya gari zake na ana aina ya wateja ame focus. Ulinganisho wake wa bei ndio nimeona haelewi anachofanya
 
Umemaliza kila kitu. Shida hawa wajerumni wa jf, hawafikiri vizuri na hata ulinganishi wao ni wa ajabu ajabu sana. Nimeisha wapuuza tu
 
Gap refu sana gari ya Mjerumani ya 2020 ni 1.15 billion TZS halafu Mjapani ana gari la 2019 bei 2.09 billion. TZS πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ German machine my foot
 
Chukua G - Wagon.. AMG 63 itakufaa mkuuπŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜†πŸ˜† Uko parefu sana mkuu,nilipanga nichukue bmw x3 ila naona bora nichukue Nissan fuga la 2018 nimeangalia kikokotoo cha tra Kodi wanataka mil 10 tu ,Kodi ndogo mpka nimeshangaa
 
πŸ˜†πŸ˜† Uko parefu sana mkuu,nilipanga nichukue bmw x3 ila naona bora nichukue Nissan fuga la 2018 nimeangalia kikokotoo cha tra Kodi wanataka mil 10 tu ,Kodi ndogo mpka nimeshangaa
Na japenga wana iuza bei gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…