Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mkuu mbona una overboard! Andiko lako linazungumzia ''Gari wanazohitaji watz hazipatikani dunia nzima'' hapo hapo ukasema ndio mana wengi wanaishia kutembelea Ist, Vitz, crown na n.k kwa maana ya unafuu wa mafuta na maintenance. Naamin wengi tumejiuliza how umeingiza Crown!. Crown ni luxury car na zina-performance kubwa (output energy) ukilinganisha na Ist na ata ktk matumizi ya mafuta Crown consumpts more than Ist, ktk mazingira yoyote yale hizi gari mbili hazifanani. Then unasema Crown nyingi zilizopo Bongo ni za miaka ya 2004, 2005, 2006 na ni gari common😂😂 ndio sababu pekee za kufafanisha na ist😀😀😀 which is very illogical. Hapo hapo unaanza kuzisifia gari za kijerumani ambazo ata hizo nyingi zilizopo hapa bongo ni za miaka uliyotaja na ni common vilevile. Anyway tupia picha ya Bmw yako ya mwaka 2011 tuione mana maelezo bila picha hayanogi😀
 
Sisi tusokua wabongo na tunapenda Gari zenye sifa kama hizo tunacomment wapi?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa unavyobishana utadhani unaendesha G-wagon kumbe unaendesha harrier tena ya kupewa na shangazi kwa bei nafuu(umesema mwenyewe hii),[emoji2][emoji2][emoji2] kua mjuaji huku mfukoni bila bila ni raha sana aisee.
Kumbe ndo unavyodhania?

Hiyo ni gari ya kwanza mzee. Miaka ya 2013 huko.

Gari nimeiweka tu ndani.

Hata kama naendesha bmw 3 series ya 2005. Ila ni better off na hivyo vi crown vyenu.
 
Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho.
Kuna anayeenjoy kilometer nyingi town kwa mafuta hafifu,
kuna anayeenjoy kutembea kwenye makorongo kama yupo kwenye rami,
kuna anayeenjoy kupita kila gari akienda mkoa,
kuna anayeenjoy kuwa na gari la kipekee kwenye parking space,
kuna anayeenjoy kubeba "mizigo" ya design yote kwenye
 
Nimechukua ya kwanza boss "Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho."
 
Kumbe ndo unavyodhania?

Hiyo ni gari ya kwanza mzee. Miaka ya 2013 huko.

Gari nimeiweka tu ndani.

Hata kama naendesha bmw 3 series ya 2005. Ila ni better off na hivyo vi crown vyenu.
Hahaha 2013 kumbe ndio ulipata gari yako ya kwanza?No wonder bado una kaushamba flani ka magari,ukishatoka hio stage ya unyokaaa utazoea tu.

Halafu kelele mingi hivi kumbe unaendesha bmw 3 series (entry level car) tena ya miaka 16 iliyopita?😃😯nikajua unasukuma M3/M5/X6/ma AMG huko.
 
How deceived you are. Keep guessing my man.

Keep guessing.

Infact i'm neither driving german nor japanese cars.

I'm planning on getting a proper german machine by 2022.

That can put 0-100kph under 5 secs.

Nimeendesha gari za toyota i know what am talking about.
 
Unapewa pesa kwa ajili ya kazi za field Tabora, Kigoma na Katavi. Unaambiwa kazi ni ya mwaka mzima, field ikiisha gari linabaki kuwa mali yako. Gari zilizopendekezwa field ni Ford Everest / Toyota Fortuner na BMW X5. Unaenda kwa gari lipi? Na sababu kuu ni ipi?
 

Hahah wacha maneno mengi blaza,we endesha zako tu harrier old model wala hakuna mtu atakayekushangaa.
 
Usisahau kuangalia kikokotoo cha tiaraei pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…