Napenda sana Migari yenye Cc kubwa. Juzi nimeenda Jeep lenye Cc6000 tena petrol. Aiseee linatembea ni balaa.Kumiliki gari ya zaidi ya 2500cc kwa bongo hapa ni kichefu chefu hasa kama utafikia mahala unataka kuliuza.
Hata liwe namba DVZ hamna mtu anataka gari lenye mashine kubwa namna hio labda uwauzie watoto wa kiarabu ndo wanawakaga nayo[emoji23]
Ninachoichukia Crown ni hawana model za SUVHahahah kwahio Crown ni uchafu mbele ya Benzo?
Nazungumzia facelifted Crown ile ya 2009
Hilo linajibiwa na toleo la 2021 wanaplan iwe SUV kama Rolls Royce CullinanNinachoichukia Crown ni hawana model za SUV
Wakitoa toleo la SUV itakuwa poa sana!Hilo linajibiwa na toleo la 2021 wanaplan iwe SUV kama Rolls Royce Cullinan
Na tutaishia kuziona kwa macho kwa kipindi hiki.Wakitoa toleo la SUV itakuwa poa sana!
Sedan crown zimekaa powa sana. SUV wataharibuHilo linajibiwa na toleo la 2021 wanaplan iwe SUV kama Rolls Royce Cullinan
Trend ya sokoni sahizi ni SUV body type. Sio bongo tu hata ulaya wanapenda sana gari za Juu juu πππ na Hatchbacks, Sedan sio kivile ndio maana gari nyingi zina vichogo.Sedan crown zimekaa powa sana. SUV wataharibu
Napenda sana sedan asee kuliko SUV.. ila zele Sedan za kiume haswa hata ukipita SUV mwenye nayo anabaki toa udendaTrend ya sokoni sahizi ni SUV body type. Sio bongo tu hata ulaya wanapenda sana gari za Juu juu πππ na Hatchbacks, Sedan sio kivile ndio maana gari nyingi zina vichogo.
Sedan zipo sexy sanaa.. cheki S 650 maybach S 63 AMG, cheki Volvo S60 au S80. Cheki majesta, cheki Crown kuanzi 2011+.. hapo ujacheki Astorn Martin, bentley Sedan.. zipp sex vibaya, twende kwa AUDI A8 , MBW 7 Series hadi shemeji akiingia mahaba yanapanda nyuzi joto ππππ...Trend ya sokoni sahizi ni SUV body type. Sio bongo tu hata ulaya wanapenda sana gari za Juu juu πππ na Hatchbacks, Sedan sio kivile ndio maana gari nyingi zina vichogo.
Volvo S90Sedan zipo sexy sanaa.. cheki S 650 maybach S 63 AMG, cheki Volvo S60 au S80. Cheki majesta, cheki Crown kuanzi 2011+.. hapo ujacheki Astorn Martin, bentley Sedan.. zipp sex vibaya, twende kwa AUDI A8 , MBW 7 Series hadi shemeji akiingia mahaba yanapanda nyuzi joto ππππ...
Sedan za Volvo naziona nazo zimesimama vibaya, sijui ufanisi wake barabarani . Japo kwa machoni na specification zinaonekana ni vyuma haswaaaVolvo S90
Aiseee hii S90 ni moto . Nilikuwa naipitia hapa dah. Pesa hizi mmhVolvo S90
Angalia na V90 Cross CountryAiseee hii S90 ni moto . Nilikuwa naipitia hapa dah. Pesa hizi mmh
Nimeziona vyuma vimekaa sawa, na sasa hivi Gari nyingi zinahamia kwenye Tech ya hali ya juu, tutaanza kuzi update kama simu ( sofware zake )Angalia na V90 Cross Country
Mjapani hiyo ndiyo biashara yake ya kufa na kupona ndiyo uchumi wake, tofauti Na German anadeal zaidi na heavy trucks ambazo performance zake zinauza Dunia nzima. Scania, Volvo, Benz actros n.k.Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Sedan zimekaa chini sana ni ngumu kwenda nazo vijijini!Sedan zipo sexy sanaa.. cheki S 650 maybach S 63 AMG, cheki Volvo S60 au S80. Cheki majesta, cheki Crown kuanzi 2011+.. hapo ujacheki Astorn Martin, bentley Sedan.. zipp sex vibaya, twende kwa AUDI A8 , MBW 7 Series hadi shemeji akiingia mahaba yanapanda nyuzi joto ππππ...
Vijijini si kuna mabasi mkuuSedan zimekaa chini sana ni ngumu kwenda nazo vijijini!
Kwa hiyo siku ukiwa na safari katika barabara ngumu basi unapaki gari unapanda bus?Huu si utumwa huu?Vijijini si kuna mabasi mkuu
Kwani kabla ya kuwa na gari, huko kijijini ulikuwa unaenda na nini mkuu ?Kwa hiyo siku ukiwa na safari katika barabara ngumu basi unapaki gari unapanda bus?Huu si utumwa huu?