42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Napenda sana Migari yenye Cc kubwa. Juzi nimeenda Jeep lenye Cc6000 tena petrol. Aiseee linatembea ni balaa.Kumiliki gari ya zaidi ya 2500cc kwa bongo hapa ni kichefu chefu hasa kama utafikia mahala unataka kuliuza.
Hata liwe namba DVZ hamna mtu anataka gari lenye mashine kubwa namna hio labda uwauzie watoto wa kiarabu ndo wanawakaga nayo[emoji23]