Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa nini nirudi Misri baada ya kufika katika nchi ya ahadi?Wewe unaona kuwa inaleta sense kurudi Misri baada ya kufika kwenye nchi ya ahadi?Kwani kabla ya kuwa na gari, huko kijijini ulikuwa unaenda na nini mkuu ?
Mfano wa misri haufanyi kazi vizuri hapa, mzee wa chura. Gari si inakuwepo ni kama umeipumzisha, ndio maana wameleta gari aina mbali mbali, mie napenda sedan gari za juu sizipendi, najua kuna mazingira ambayo yana shida kwa gari za chini, ila ndio nazipenda sasa. Kijijini naenda kwa basi wala haina shida kabisa na uzuri sasa hivi maeneo mengi vijijini yamepitiwa na rami na pia wanakamati wanajitahidi tunza vibarabara vya kijijini hata gari za chini zinapita, ingawa sio maeneo yoteKwa nini nirudi Misri baada ya kufika katika nchi ya ahadi?Wewe unaona kuwa inaleta sense kurudi Misri baada ya kufika kwenye nchi ya ahadi?
Hata ulaya walinza kama sie.Elimu ya magari kwa Tanzania bado sana...
Watu wengi hufuata mkumbo...
Scania na Volvo ni Sweden na sio German.Mjapani hiyo ndiyo biashara yake ya kufa na kupona ndiyo uchumi wake, tofauti Na German anadeal zaidi na heavy trucks ambazo performance zake zinauza Dunia nzima. Scania, Volvo, Benz actros n.k.
Lazima upige hatua kwenda mbele.Kwani kabla ya kuwa na gari, huko kijijini ulikuwa unaenda na nini mkuu ?
Hahahah labda tumuulize vyema, maana hamna Crown iliotoka Japan ambayo bush zake ni elfu 20?😂😂😂
Crown spear zake zipo juu taa zake tu za nyuma mshahara wa mtuHahahah labda tumuulize vyema, maana hamna Crown iliotoka Japan ambayo bush zake ni elfu 20?😂😂😂
Hoja za kipumbavu sana hizi mtadhani mko kwenye group la WhatsApp.Wanajivuna na dashboard [emoji3][emoji3][emoji3]... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
Watanzania tumeshindikana ukichanganya na like dubwasha la kuhorojaMtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.
1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).
Na kinachonimaliza kabisa...
9-Iwe na bei nafuu.
Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..
Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, harrier n.k
Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?
Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.
Kwa mentality kama hizi we endelea kuendesha mikweche tu Wajukuu wa Hitler watakumolestate.ku.ma m.ako acha kushobokea watu, utafil.w@
Povu lote hili kisa huna hela ya kumiliki Benz au BMW?Mfano wa misri haufanyi kazi vizuri hapa, mzee wa chura. Gari si inakuwepo ni kama umeipumzisha, ndio maana wameleta gari aina mbali mbali, mie napenda sedan gari za juu sizipendi, najua kuna mazingira ambayo yana shida kwa gari za chini, ila ndio nazipenda sasa. Kijijini naenda kwa basi wala haina shida kabisa na uzuri sasa hivi maeneo mengi vijijini yamepitiwa na rami na pia wanakamati wanajitahidi tunza vibarabara vya kijijini hata gari za chini zinapita, ingawa sio maeneo yote
Bongo watu Wana stress so usishangae sana Mkuu. Jitu Vivu linajinunisha tu.Kwa mentality kama hizi we endelea kuendesha mikweche tu Wajukuu wa Hitler watakumolestate.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kweli Mkuu.....stresss na chuki sana ......yani kama mtu hana uwezo wa kumiliki kitu badala apambane akipate....akae na wamiliki awe inspired....anaendekeza chuki tu na wivu.....Bongo watu Wana stress so usishangae sana Mkuu. Jitu Vivu linajinunisha tu.
Nilijichanga (kama miaka minne) nikanunua BMW X3 baada ya kuuza RAV4 old model Sasa ndugu yangu alipokuja kuiona hiyo BMW aisee alibadilika Sana mnuno sio wa nchi hii. Baadae akaja kuomba nimkopeshe 10m nikamuambia sina mpaka leo kanuna.Kweli Mkuu.....stresss na chuki sana ......yani kama mtu hana uwezo wa kumiliki kitu badala apambane akipate....akae na wamiliki awe inspired....anaendekeza chuki tu na wivu.....
Nadhani ni Legacy na Mfumo wa Ujamaa wa Nyerere........haya mambo kwenye Nchi za Mapebari hakunaga.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tatizo ni Fikra za Kimaskini walizo nazo Wamatumbi wengi.Nilijichanga (kama miaka minne) nikanunua BMW X3 baada ya kuuza RAV4 old model Sasa ndugu yangu alipokuja kuiona hiyo BMW aisee alibadilika Sana mnuno sio wa nchi hii. Baadae akaja kuomba nimkopeshe 10m nikamuambia sina mpaka leo kanuna.
**Hapo hajui nilipitia hustle kiasi gani kuagiza hiyo gari
Bongo uchawi sio mpaka uvae Tunguli. Ndugu/Marafiki Ni shidaaTatizo ni Fikra za Kimaskini walizo nazo Wamatumbi wengi.
Mtu hajui magumu uliyopitia badala ya kupongeza 'You Made It' ....aulize ni namna gani You Did It.....anaishia kuHate yanii.....dah
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Bongo watu Wana stress so usishangae sana Mkuu. Jitu Vivu linajinunisha tu.
Kwa mentality kama hizi we endelea kuendesha mikweche tu Wajukuu wa Hitler watakumolestate.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.
1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).
Na kinachonimaliza kabisa...
9-Iwe na bei nafuu.
Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..
Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, harrier n.k
Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?
Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.
Ndio nyie nyie mliojaa wivu na ghilba kwa waliofanikiwaWe tangu utudanganye khs Ukubwa wa Nissan wa Nissan fuga ‘yako’ then story zako zote ni za kutunga tu.