Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Kwa nini nirudi Misri baada ya kufika katika nchi ya ahadi?Wewe unaona kuwa inaleta sense kurudi Misri baada ya kufika kwenye nchi ya ahadi?
Mfano wa misri haufanyi kazi vizuri hapa, mzee wa chura. Gari si inakuwepo ni kama umeipumzisha, ndio maana wameleta gari aina mbali mbali, mie napenda sedan gari za juu sizipendi, najua kuna mazingira ambayo yana shida kwa gari za chini, ila ndio nazipenda sasa. Kijijini naenda kwa basi wala haina shida kabisa na uzuri sasa hivi maeneo mengi vijijini yamepitiwa na rami na pia wanakamati wanajitahidi tunza vibarabara vya kijijini hata gari za chini zinapita, ingawa sio maeneo yote
 
Mjapani hiyo ndiyo biashara yake ya kufa na kupona ndiyo uchumi wake, tofauti Na German anadeal zaidi na heavy trucks ambazo performance zake zinauza Dunia nzima. Scania, Volvo, Benz actros n.k.
Scania na Volvo ni Sweden na sio German.
 
Wanajivuna na dashboard [emoji3][emoji3][emoji3]... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
Hoja za kipumbavu sana hizi mtadhani mko kwenye group la WhatsApp.

Embu tafuteni hela mmiliki magari ya kueleweka na sio kuja hapa kujitekenya huku mnacheka wenyewe.

Mnaweweseka sana mkiskia Benz na BMW

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg
Watanzania tumeshindikana ukichanganya na like dubwasha la kuhoroja
 
Mfano wa misri haufanyi kazi vizuri hapa, mzee wa chura. Gari si inakuwepo ni kama umeipumzisha, ndio maana wameleta gari aina mbali mbali, mie napenda sedan gari za juu sizipendi, najua kuna mazingira ambayo yana shida kwa gari za chini, ila ndio nazipenda sasa. Kijijini naenda kwa basi wala haina shida kabisa na uzuri sasa hivi maeneo mengi vijijini yamepitiwa na rami na pia wanakamati wanajitahidi tunza vibarabara vya kijijini hata gari za chini zinapita, ingawa sio maeneo yote
Povu lote hili kisa huna hela ya kumiliki Benz au BMW?

Basi ukiwa road na kitoroli chako cha kubebea vifaa vya Golf unavimbaaaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Bongo watu Wana stress so usishangae sana Mkuu. Jitu Vivu linajinunisha tu.
Kweli Mkuu.....stresss na chuki sana ......yani kama mtu hana uwezo wa kumiliki kitu badala apambane akipate....akae na wamiliki awe inspired....anaendekeza chuki tu na wivu.....

Nadhani ni Legacy na Mfumo wa Ujamaa wa Nyerere........haya mambo kwenye Nchi za Mapebari hakunaga.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kweli Mkuu.....stresss na chuki sana ......yani kama mtu hana uwezo wa kumiliki kitu badala apambane akipate....akae na wamiliki awe inspired....anaendekeza chuki tu na wivu.....

Nadhani ni Legacy na Mfumo wa Ujamaa wa Nyerere........haya mambo kwenye Nchi za Mapebari hakunaga.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nilijichanga (kama miaka minne) nikanunua BMW X3 baada ya kuuza RAV4 old model Sasa ndugu yangu alipokuja kuiona hiyo BMW aisee alibadilika Sana mnuno sio wa nchi hii. Baadae akaja kuomba nimkopeshe 10m nikamuambia sina mpaka leo kanuna.
**Hapo hajui nilipitia hustle kiasi gani kuagiza hiyo gari
 
Tatizo ni Fikra za Kimaskini walizo nazo Wamatumbi wengi.

Mtu hajui magumu uliyopitia badala ya kupongeza 'You Made It' ....aulize ni namna gani You Did It.....anaishia kuHate yanii.....dah

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni Fikra za Kimaskini walizo nazo Wamatumbi wengi.

Mtu hajui magumu uliyopitia badala ya kupongeza 'You Made It' ....aulize ni namna gani You Did It.....anaishia kuHate yanii.....dah

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Bongo uchawi sio mpaka uvae Tunguli. Ndugu/Marafiki Ni shidaa
 
Kwa mentality kama hizi we endelea kuendesha mikweche tu Wajukuu wa Hitler watakumolestate.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Mwaka wa 7 sasa unauliziaga bei za audi,bmw,mercedes lkn hata kununua hununui.

Si bora hata mwenye kapasso anaujua utamu wa kigari chache kuliko kujua utamu wa germany cars kupitia youtube.
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.

1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg

2021-Tundra-1-copy.jpg

USC90JES052F021001.jpg

Ungesoma uchumi ( Economics) au walau kufuatilia maswala ya uchumi ungejua kuwa umeandika USELESS POINTS!!!
 
Back
Top Bottom