100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
- Thread starter
- #701
Mkuu naona umekomaa sana.....naona huamini sijui kama naweza kumiliki bmw 320i? auMkuu mbona una overboard! Andiko lako linazungumzia ''Gari wanazohitaji watz hazipatikani dunia nzima'' hapo hapo ukasema ndio mana wengi wanaishia kutembelea Ist, Vitz, crown na n.k kwa maana ya unafuu wa mafuta na maintenance. Naamin wengi tumejiuliza how umeingiza Crown!. Crown ni luxury car na zina-performance kubwa (output energy) ukilinganisha na Ist na ata ktk matumizi ya mafuta Crown consumpts more than Ist, ktk mazingira yoyote yale hizi gari mbili hazifanani. Then unasema Crown nyingi zilizopo Bongo ni za miaka ya 2004, 2005, 2006 na ni gari common😂😂 ndio sababu pekee za kufafanisha na ist😀😀😀 which is very illogical. Hapo hapo unaanza kuzisifia gari za kijerumani ambazo ata hizo nyingi zilizopo hapa bongo ni za miaka uliyotaja na ni common vilevile. Anyway tupia picha ya Bmw yako ya mwaka 2011 tuione mana maelezo bila picha hayanogi😀
Kwenye account yangu kwenye banner picha ipo.
Utaona simu yangu ina page ya jf...........Thanks.......
320i
Inaonekana umeumia sana kusikia crown zipo kwenye kundi la ist 😅 😅 😅 , ngoja tuzitoe mkuu.