Gari ya bure kwa anaehitaji.

Updates:
kuna member mmoja baada ya kuweka post tu akanitumia msg (pm) na tukajadiliana na akanipigia simu muda si mrefu na nimekubali kumpatia hilo gari siku ya kesho. So gari imeshapata mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
ko wataka tuje kipindi unamkabidhi ama tupige picha ya ukumbusho.

Toa utoto hapa una marafiki wangap ushindwe kuwapa
 
Updates:
kuna member mmoja baada ya kuweka post tu akanitumia msg (pm) na tukajadiliana na akanipigia simu muda si mrefu na nimekubali kumpatia hilo gari siku ya kesho. So gari imeshapata mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii update ungeiweka kwenye post namba moja. Maana huku iko ukurasa wa pili.

Hongera nakuelewa kuna muda unakuwa na kitu cha thamani na haifai kumpa mtu anayekufahamu maana hutaki lawama maneno baadae.
Mtu anayekujua baadae anaweza kukwambia.... kaliona gari limekuwa mkweche ndo ananipa.... halafu likiwa kwa ndugu anaweza asilitunze ulivokuwa unalitunza wewe ukirudi ukaliona roho itakuuma.

Bora liende mbali na mtu unayefahamiana nae. Cha muhimu andikishiana nae hayo makabodhiano kwa usalama wako. Ulimwengu huu wa kidigitali, badili nyaraka zote za umiliki ziwe kwa jina lake hapo utakuwa uneachana nae kwa amani. Laah, hata baadavya miaka 5 ukirudi unaweza kuta kuna kesi inakusubiri....
Hii pia ni kwa usalama wa anayepewa / anayekabidhiwa gari....

K’ Matata.
 
Eeeeh basi na hiyo nyumba unayoishi nigaie mimi mzee baba wengine tunaishi kwenye nyumba za tembe

Sent using Jamii Forums mobile app
JF siku hizi imekuwa ya Kiki kwa Pikipiki umaarufu kunuka,usikute mtoa mada anatafuta kiki tu,amesema kashampa mtu bila kumtaja,ingependeza amtaje ili hiyo kesho tuweze kuhoji kama kweli kapewa gari na apige picha aliweke humu hilo gari.

Kumtaja mtu kama umempa kuondoa walakini ni muhimu haivunji miiko ya JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…