Gari ya bure kwa anaehitaji.

Nimesema kama atakubali nimtaje basi leo hii nitamtaja, kama atakataa basi sitamtaja kwa kuwa tayari nishamfahamu! Au yeye mwenyewe atakuja humu kusema, na kama huamini kesho saa nne asubuhi njoo mbweni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea hapa home nina computer ( desktop) ipo vizur ila nayo naiacha na naweza kumpatia yoyote, kama unahitaji tuchekiane then kesho nikupatie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema kama atakubali nimtaje basi leo hii nitamtaja, kama atakataa basi sitamtaja kwa kuwa tayari nishamfahamu! Au yeye mwenyewe atakuja humu kusema, na kama huamini kesho saa nne asubuhi njoo mbweni!

Sent using Jamii Forums mobile app
We mtaje tu mkuu sidhani kama ni kosa au huyo aliyepewa ataona umemdhalilisha!!
 
Atajua yeye maana nimemgudia hiko kitu ila naona kawa mpole, so ni uhuru wake kuja kusema au kukaa kimya ila nilichomsisitiza ni asitaje jina langu kamili kwa mtu yoyote humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ili tuamini hiyo Desktop ulinipa kama offer naomba uiweke atakuja kuichukua witnessj na yeye kama hana uhitaji nayo naye ataigawa kwa mwenye uhitaji.
 
Sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikukuambia hivyo kwa lengo la kujitweza, nilikuwa serious ila haina shida kwa maana wataokuja kupanga hapa wataikuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpatie mwana JF mwenzetu ili tuamini maana unavyorukaruka tunaanza kuamini ni KIKI,Ukimpatia mtu Desktop hiyo tofauti na huyo asiyejulikana na gari wengi tutaamini,mimi nimechagua umpatie witnessj hiyo Desktop.
 
Sawa ili tuamini hiyo Desktop ulinipa kama offer naomba uiweke atakuja kuichukua witnessj na yeye kama hana uhitaji nayo naye ataigawa kwa mwenye uhitaji.
Hyo desktop nimekueleza wataikuta wataokuja kupanga hapa! Ila ningeweza kukupatia ww hyo kesho, ili tu uamini nachokisema! Sasa huyo witnessj sina sababu ya kumpatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…