Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
- Thread starter
- #41
Nimesema kama atakubali nimtaje basi leo hii nitamtaja, kama atakataa basi sitamtaja kwa kuwa tayari nishamfahamu! Au yeye mwenyewe atakuja humu kusema, na kama huamini kesho saa nne asubuhi njoo mbweni!JF siku hizi imekuwa ya Kiki kwa Pikipiki umaarufu kunuka,usikute mtoa mada anatafuta kiki tu,amesema kashampa mtu bila kumtaja,ingependeza amtaje ili hiyo kesho tuweze kuhoji kama kweli kapewa gari na apige picha aliweke humu hilo gari.
Kumtaja mtu kama umempa kuondoa walakini ni muhimu haivunji miiko ya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app