Gari ya bure kwa anaehitaji.

Mpatie mwana JF mwenzetu ili tuamini maana unavyorukaruka tunaanza kuamini ni KIKI,Ukimpatia mtu Desktop hiyo tofauti na huyo asiyejulikana na gari wengi tutaamini,mimi nimechagua umpatie witnessj hiyo Desktop.
King Kong lll, Kwani huyo witness amekwambia nahitaji hiyo desk top ?, muache Per diem apumue mimi nimemuelewa
 
Mkuu kama kweli hiyo desktop ninauhitaji nayo serious ikiwezekana nije ichukua kesho itakuwa umeniongezea mtaji kwenye Library yangu inahitaji Desktop.

Nipo serious mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kama mumesoma comment vizuri alisema hakutaka kumpa mtu anayemfahamu kwasababu siku ikizingua ataanza lawama kwamba amempa kitu kibovu au ambacho hakifai simunajua ndugu lawama? ndio maana akataka kumpa mtu asiyemjua kabisa.
 
Wewe ukipewa kitu bure na unaambiwa kinahitaji matengenezo, mbele ya safari utakuwa na sababu gani kumlaumu huyo mtu aliyekupa hicho kitu (tena bure) hata kama hakitatengemaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…