Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1539199View attachment 1539200imeziba barabara ya Kilwa.
Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu.
Kuna foleni kubwa sana.
Yan imetoka upande wa pili wa barabara mpaka upande wa pili
Au dereva amepata adam mchomvu. Je dereva hapigi watu mitama? Wawe makini nae asije kuwatia watu mitama.Isije kuwa dreva alikuwa Mbasha
Magari ya kichina ndivyo yalivyo. Scania baba Lao.Hivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
Haya malori ya kichina Kule china yanauzwa kwa mafungu. Dangote alinunua malori 500 sawa na scania mpya 10. Akafika Tz akaitwa mwekezaji mkubwa.View attachment 1539199View attachment 1539200imeziba barabara ya Kilwa.
Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu.
Kuna foleni kubwa sana.
Tatizo ni madereva tu, wengi wao hawana tofauti na wale wa daladala!!Hivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
Wala tatizo sio magari ni madereva, kuna siku nimepanda nilikuwa nasafirisha mzigo tani 32,kutoka mpanda kwenda kahama tulitumia masaa 12!!!siku hiyo sitakuja isahau maishani!!! Nilitamani niteremkie njiani!! Wakawa wanasema lazima waendeshe hivyo kwani hiyo route haiko ki ofisi, ni ya kwao!!!Haya malori ya kichina Kule china yanauzwa kwa mafungu. Dangote alinunua malori 500 sawa na scania mpya 10. Akafika Tz akaitwa mwekezaji mkubwa.