t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
magari na madereva kwa pamoja wana shidaHivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
system nzima ya ku recruit na kusimamia madereva ipo very rough na very corrupted si unajua yupo mhindi pale ?
service za magari pia ni za kubahatisha sana , in trucking industry unapojaribu kubana matumizi kwenye gharama za matengenezo , ni lazima uta compromise safety na ndipo ajali hutokea