Gari ya Dangote yaacha njia na kuparamia nyumba, imesababisha foleni sana

Gari ya Dangote yaacha njia na kuparamia nyumba, imesababisha foleni sana

Hivi magari ya dangote yana shida gani?
Je tatizo ni magari au madereva?
magari na madereva kwa pamoja wana shida
system nzima ya ku recruit na kusimamia madereva ipo very rough na very corrupted si unajua yupo mhindi pale ?
service za magari pia ni za kubahatisha sana , in trucking industry unapojaribu kubana matumizi kwenye gharama za matengenezo , ni lazima uta compromise safety na ndipo ajali hutokea
 
gari kubwa ivo imevuka mtarooo...ingekuwa gari ndogo si ingemalizia na kuendelea na safarii
 
Gari za dangote kwa uharbfu barabarani zibatia fola.
Kwa week kugonga,kupinduka au kupata ajali ya namna yeyote hayapungui magari mawili au matatu kwa week ktk barabara ya kilwa.
Juzi saa 1asbh nimekuta gari ya dangote imebondeka kibn vby huko Ikwiriri mbele kidogo ya daraja la mkapa.
Si ya kufuatana nayo kabisa.
 
Wa-nigeria wenyewe wanakwambia ukiona gari ya dangote ikiwa mbele/nyuma yako then jiandae kwa lolote maana maajabu hua yanaweza kutokea bila kutegemea.
Wanataka kusema kafara?
 
Kwa research isiyo rasmi,zaidi ya asilimia 99 ya ajali za barabarani za nchi huu huhusisha malori..,kuna shida gani kwenye malori?madereva wrtu hawana utaalam nayo,hatuna miundombinu ya kuhimili malori au yanapatiwa huduma hafifu??
 
Haya malori ya kichina Kule china yanauzwa kwa mafungu. Dangote alinunua malori 500 sawa na scania mpya 10. Akafika Tz akaitwa mwekezaji mkubwa.
Acha hizo mkuu! Kwani ukubwa wa uwekezaji unakuwa determined na aina ya trucks anazomiliki mtu?

By the way, jamaa anamiliki European trucks nyingi tu.
 
Madereva wa hii kampuni wanasafiri miendo mirefu sana bila kua na Tingo wala Madereva wasaidizi. Dereva anakanyaga gia mtwara mpaka Kyaka na sio tripu moja tu
Watu wanaenda dar- congo bila tingo unashangaa mtwara to kyaka! Halafu tingo has nothing to do with road accidents.
 
Back
Top Bottom