Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

wanakuambia eti kipanya anaunga unga gari na hajabuni.

kitu ambacho hawajui ni kuwa kuna kampuni nyungi za utengenezaji magari ambazo hununua spare parts kutoka viwanda nguli vya vyuma

mfano. Volkswagen- wananunua engine spare parts kutoka kwa Dutch machines

Kama unaona anachofanya masudi ni simple kwanini usifanye wewe?

Nchii imejaa watu wenye sumu wasiojua kuwa ni ngumu kuanzisha kitu ila ni rahisi kubomoa
Warusi wanatengeneza silaha pia kwa kuungaunga na parts za Ulaya na US. Kutumia parts za watengenezaji tofauti tofauti haiondoi dhana ya kuwa wewe ndiye mtengenezaji wa hicho kitu. Gari yako aina ya Toyota ambayo ina radio au compus, haimaanishi radio na compus, navyo vimetenegenezwa na Toyota.
 
Back
Top Bottom