Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Ni kwel mkuu ila si unajuwa hizo gari pia ukitaka kuwahi unawahi na ni nzuri pia kwa safariMbona gari zote zipo Chini hapo..nilitegemea utasema Terios kid
Sio mbaya lakini kama unayo hiyo unaweza nicheki PM tukayajengaMbona gari zote zipo Chini hapo..nilitegemea utasema Terios kid
Ni kwel mkuu ila si unajuwa hizo gari pia ukitaka kuwahi unawahi na ni nzuri pia kwa safari
Sasa itafanya kazi jimbo zima huoni kuwa kuzunguka jimbo ni safari mkuu?Umesema itatumika ndani ya Singida sasa hiyo safari ya wapi tena..
Upo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,Sasa itafanya kazi jimbo zima huoni kuwa kuzunguka jimbo ni safari mkuu?
Ahsante sana rafiki kumbe watu wa nyumbani mpo wengi hiviUpo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah
Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
Ni kwel mkuu ila si unajuwa hizo gari pia ukitaka kuwahi unawahi na ni nzuri pia kwa safari
Nipo kahama kwa sasa ila nategemea kufika Singida mda si mrefu sanaUpo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah
Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
🤣🤣🤣🤣 we nipe gari bhana mie nazipenda kwa sababu nimeziendesha sana tuunasema hizo gari ukitaka kuwahi unawahi,
zenyewe zinapenya kama boda boda?
Njoo pmUpo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah
Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
Mcheki Finson Kiula Matalu nakutumia namba yake PMHabari za jioni wakubwa na wadogo.
Naomba kuzamia kwenye mada
Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba mezani na kufanya biashara gari inayotafutwa kwa ajili ya kukodishwa ni Premio, crown, Gx 110 grande mark 11, na aina zingine ila iwe juu kidogo na tairi ziwe mpya full ac muda wote isiwe na ubovu wa aina yeyote kazi yangu iwe ni services ya kawaida tu
Karibuni wenye magari
Sawa kiongozi shukurani sanaMcheki Finson Kiula Matalu nakutumia namba yake PM
Mafuta mzee baba inakunywa utafikiri imetumwa kunifilisi aisee hiyo prado ni desel au petrolUkihitaji hilux Vigo (1KD engine) gari ya uhakika kwa barabara zote nicheki pia au prado mchaga(1kz engine)
Yaan sio tu kuchomwa moto bali hata ikikamatwa imebeba vitu tofauti na kwenye mkataba ni kosa na linatakiwa kuwepo kwenye mkatabaKwenye huo mkataba muandikishane endapo gari itavunjwa au kuchomwa moto na watu wasiojulikana ni wewe ndio utalipa.
Maana kampeni za nchi hii hii ni zaidi ya vita.