Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Habari za jioni wakubwa na wadogo.
Naomba kuzamia kwenye mada
Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba mezani na kufanya biashara.
Gari inayotafutwa kwa ajili ya kukodishwa ni Premio, crown, Gx 110 grande mark 11, na aina zingine ila iwe juu kidogo na tairi ziwe mpya full ac muda wote isiwe na ubovu wa aina yeyote kazi yangu iwe ni services ya kawaida tu.
Karibuni wenye magari