Gari ya kukodi inahitajika

Gari ya kukodi inahitajika

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,484
Habari za jioni wakubwa na wadogo.

Naomba kuzamia kwenye mada

Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba mezani na kufanya biashara.

Gari inayotafutwa kwa ajili ya kukodishwa ni Premio, crown, Gx 110 grande mark 11, na aina zingine ila iwe juu kidogo na tairi ziwe mpya full ac muda wote isiwe na ubovu wa aina yeyote kazi yangu iwe ni services ya kawaida tu.

Karibuni wenye magari
 
Sasa itafanya kazi jimbo zima huoni kuwa kuzunguka jimbo ni safari mkuu?
Upo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah

Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
 
Ipo Rav 4 old model hapahapa Singida,itakufaa sana rangi yake ni kijani na ni automatic,4wD ,full AC
 
Ukihitaji hilux Vigo (1KD engine) gari ya uhakika kwa barabara zote nicheki pia au prado mchaga(1kz engine)
 
Upo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah

Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
Ahsante sana rafiki kumbe watu wa nyumbani mpo wengi hivi
 
Upo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah

Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
Nipo kahama kwa sasa ila nategemea kufika Singida mda si mrefu sana
 
Habari za jioni wakubwa na wadogo.

Naomba kuzamia kwenye mada

Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba mezani na kufanya biashara gari inayotafutwa kwa ajili ya kukodishwa ni Premio, crown, Gx 110 grande mark 11, na aina zingine ila iwe juu kidogo na tairi ziwe mpya full ac muda wote isiwe na ubovu wa aina yeyote kazi yangu iwe ni services ya kawaida tu

Karibuni wenye magari
Mcheki Finson Kiula Matalu nakutumia namba yake PM
 
Ukihitaji hilux Vigo (1KD engine) gari ya uhakika kwa barabara zote nicheki pia au prado mchaga(1kz engine)
Mafuta mzee baba inakunywa utafikiri imetumwa kunifilisi aisee hiyo prado ni desel au petrol
 
NDUGU MIMI KUNA WATU WANANIFUATA PM KUWA WAO NI MADALALI SITAKI DALALI NAMTAKA MWENYE GARI TU

AU UFNYE KAMA ALIVYOFANYA MKUU BUJIBUJI UTUME NAMBA YA MWENYE GARI
 
Kwenye huo mkataba muandikishane endapo gari itavunjwa au kuchomwa moto na watu wasiojulikana ni wewe ndio utalipa.
Maana kampeni za nchi hii hii ni zaidi ya vita.
 
Kwenye huo mkataba muandikishane endapo gari itavunjwa au kuchomwa moto na watu wasiojulikana ni wewe ndio utalipa.
Maana kampeni za nchi hii hii ni zaidi ya vita.
Yaan sio tu kuchomwa moto bali hata ikikamatwa imebeba vitu tofauti na kwenye mkataba ni kosa na linatakiwa kuwepo kwenye mkataba
 
Back
Top Bottom