gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Ni yule jamaa aliwahi kuwa taxi driver kipindi cha nyuma?Mcheki Finson Kiula Matalu nakutumia namba yake PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yule jamaa aliwahi kuwa taxi driver kipindi cha nyuma?Mcheki Finson Kiula Matalu nakutumia namba yake PM
Alikuwa na Toyota Mark 2 TZQ 1Ni yule jamaa aliwahi kuwa taxi driver kipindi cha nyuma?
Alikuwa na Toyota Mark 2 TZQ 1
Njoo PM tuongee zaidiKuna vx na prado tx zipo dar unakuja kufanya maelewano unapelekewa mpaka singida
Gari vipi mkuu upo kimya haukunijibu mbonaUpo sehem gan ? Veta, kibaoni, generi, Mwenge, Karakana msufini,
Nikuletee gari yangu Noah
Noah ni nzur Sana Kwa hiyo kazi yako
Mkuu kimya mbonaDaah nimechelewa sana kuingia humu kama bado unaendelea na mchakato kwa mwezi mmoja mbele gari itakuwa free mkuu usisite PM.