Nikifungua yard yangu ntakutafuta inshallah[emoji23]
Sio promo, hii kitu ni konfidensho kama kingwendu aliyompa mpoki.
Dah[emoji2]Gari gani yakishamba hio kwani wewe ni mzee au mshamba wa vijijini? Ongera Pesa ufike 15 nunua zako Crown or Bmw uenjoy maisha achana na ivyo vigari vyakubebea nyasi spacio sibebi hata bure hata kwa lift sipandi ni mara mia nitembee
Hapo kwa hiyo pesa upo vema sana. Mawili unaweza kuamua.Habari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.
Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.
Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.
Wakuu ushauri wenu
16m tokea lini IST ukaimport kwa 16 milioni au washapandisha ushuru?!Kwa uhakika kwa sifa hizi...
1. Ni mara yako ya kwanza kumiliki gari
2. Huna ujuzi wowote wa kumiliki magari
3. Budget yako ni 12m
Gari inayokufaa zaidi ni Toyota IST old model. Huwezi kujutia kabisa.
Naona pia umewaza kuhusu Toyota IST new model, lakini jibu unalo tayari, gharama ya kuweza kulinunua iko juu zaidi japokuwa ni gari nzuri pia. Kama hiyo ndio dream yako, na ikiwa ni suala la kufa na kupona basi inabidi uvute subira na ujipange zaidi ili ujiongeze na kufikia around 16m ili kufikia ndoto zako.
Dadeki yaani hata old model ya IST siwezi agiza Kwa hiyo 12M.
Wenye magari shikamoooniiii
16m tokea lini IST ukaimport kwa 16 milioni au washapandisha ushuru?!
Umeshaambiwa Passo sio gari bali Mkokoteni wenye injiniMkuu ahsante sana Kwa experience Yako na mm Huwa nasafiri dar mwanza mara Moja Moja Kwa hiyo umenitoa hofu ya kuagiza hii gari.
Mfalme Betshaza alianzaga hivihivi! Tubu mkuuGari gani yakishamba hio kwani wewe ni mzee au mshamba wa vijijini? Ongera Pesa ufike 15 nunua zako Crown or Bmw uenjoy maisha achana na ivyo vigari vyakubebea nyasi spacio sibebi hata bure hata kwa lift sipandi ni mara mia nitembee
Nunua iwe ya kwako ukipata Hela ununue nyingine kuuza Nako shida spea Bei imechangamka kama nnWakuu hivi gari za Nissan mbona hazina promo kama Toyota au Zina shida Gani?
Mfano Nissan note 2013 Hadi mkononi ni 12.5M
Hizi Huwa Zina shida Gani, nipeni muongozo wazee wa ndinga
Ndio ila kama una mawe nunua ukitaka kuuza unauza kwa hasara hata 3m sawa tuOk mkuu hapa nimekusoma, issue ni spear na soko kama utaitaji kuuza
Aah wapi sinunui gari ya kunipa stress na gari ni ndoto yangu ya muda mrefu kuimiliki.Ndio ila kama una mawe nunua ukitaka kuuza unauza kwa hasara hata 3m sawa tu
Duh......anahisi kila mtu tajiri, bmw ikianza mazoezi yake inakufilisi dakika sifuri.Mfalme Betshaza alianzaga hivihivi! Tubu mkuu
Habari bhachuView attachment 2117288
Mkuu nakushauri uendelee kujichanga uchukue hiyo Ist second generation "new model", gari ipo luxury, imetulia, inakula 18.3km/l highway na 15.3 km/l town.....kiukweli naka enjoy sana haka kandinga.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ni kweli mkuu, bado nipo nako haka kagari, Nchi yetu kila unapopinduka mwaka mpya na Kodi inaongezeka....hapo nakushauri andaa kweye 21,500,000Habari bhachu
Hii gari naitamani sana kumiliki.
Najua ishapita miaka miwili tangu ununue. Lakin unaweza kunipa highlights tu.
Kwa makadirio, niandae kiasi gani mfukoni niweze kuagiza hii gari, hadi kuweka road. Kila kitu.