Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh![emoji15][emoji15][emoji15]Gari gani yakishamba hio kwani wewe ni mzee au mshamba wa vijijini? Ongera Pesa ufike 15 nunua zako Crown or Bmw uenjoy maisha achana na ivyo vigari vyakubebea nyasi spacio sibebi hata bure hata kwa lift sipandi ni mara mia nitembee
Chukua ISUZU Bighorn bei 1900 USD (CIF) mpaka bongo.
View attachment 2116398
View attachment 2116401
Mkuu me kwenye magari ni zero brain hivyo nahitaji watu kama nyie mnipe ABC za magari.
Hii ndinga ni aina Gani na Bei Gani showroom?
[emoji1] Kuna Watu Wanapenda KujitesaWatu wanahangaika na Manual sijui wanatafuta nn na stress hizi
Ahsante mkuu Kwa ushauri,
Mkuu hivi hio IST old model au Passo inaweza kutembea dar to mwanza non stop au kupumzika tu Kwa muda mfupi?
Njoo nikupe Ractis ina siku 5 toka itoke bandarini nauza sababu nimeagiza gari nyingine kodi imekua kubwa na pesa ya ziada nimeishiwa ina document zote.View attachment 2118320
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua ushauri wangu mkuu
Kwa hiyo pesa nenda showroom nzuri dar utapata toyota spacio new model 1490cc ya seat 7 hautokuja kujuta. Spacio na ist ulaji wa mafuta zinafanana tu ila spacio inabeba watu zaidi
Andaa 2m TZS tuNahitaji Rav 4 new model, niwe na budget ya sh ngapi wakuu?
IST Ni Mkokoteni wenye Injini.Hivi mkuu IST za 2005 sio 1290cc au ulaji wa wese na hiyo 1490cc spacio ni sawa maana sijawahi kuzitumia
Wajomba mnajua kuponza nyinyi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cheki hii chuma ni 15M tu
Achana nanhawa bado wanakula ugali wa shkamooGari gani yakishamba hio kwani wewe ni mzee au mshamba wa vijijini? Ongera Pesa ufike 15 nunua zako Crown or Bmw uenjoy maisha achana na ivyo vigari vyakubebea nyasi spacio sibebi hata bure hata kwa lift sipandi ni mara mia nitembee
Boss natumia passo mwaka wa sita huu and ni ya pili ya kwanza niliuza. Huwa nasafiri mara nyingi dar mwanza every 3 month na huwa naenda na passo nikiwasha gari saa tisa mchana saa tatu asubuhi huwa nipo dar and gari ikiwaka mwanza hiwa nazima saa tatu dar. Na kama naondoka saa 12 hua nafika dar saa sita ama tano na nusu usiku hivo nina experience na hii gari. Na huwa nina abiria level seat huwa sitaki hasara mie. Gari yangu toka imetoka badarini haijawahifunguliwa vioo ni full acAhsante mkuu Kwa ushauri,
Mkuu hivi hio IST old model au Passo inaweza kutembea dar to mwanza non stop au kupumzika tu Kwa muda mfupi?
Zaman nlikuwa napigwa tochi balaaa ila nina mwaka wa pili sijawahipigwa tochi njia ya mwanza dsr sema kuna trafiki wana njaa sana singida hadi dodoma na wengine dumila kama sikoseiBinafsi sijawahi kwenda nazo ila wadau wanadai wanaenda nazo.
Nina rafiki zangu wanaendaga Dar Arusha,Dar Mtwara kwa IST , mwingine Dar Simiyu kwa Toyota Allex.
Well,unapotaka kwenda safari ndefu ya mkoani au nchi jirani.Kagua gari zingatia ubora wa
Brakes
Rejeta
Engine oil
Matairi yako
Jerk
Kamba au nyororo y kuvutia
Pesa za kuhonga traffic polisi njiani (tochi)
Ikiwezekana usiwe peke ako.
Achana nanhawa bado wanakula ugali wa shkamoo
Mkuu ahsante sana Kwa experience Yako na mm Huwa nasafiri dar mwanza mara Moja Moja Kwa hiyo umenitoa hofu ya kuagiza hii gari.Boss natumia passo mwaka wa sita huu and ni ya pili ya kwanza niliuza. Huwa nasafiri mara nyingi dar mwanza every 3 month na huwa naenda na passo nikiwasha gari saa tisa mchana saa tatu asubuhi huwa nipo dar and gari ikiwaka mwanza hiwa nazima saa tatu dar. Na kama naondoka saa 12 hua nafika dar saa sita ama tano na nusu usiku hivo nina experience na hii gari. Na huwa nina abiria level seat huwa sitaki hasara mie. Gari yangu toka imetoka badarini haijawahifunguliwa vioo ni full ac
Sio cc peke yake , kuna mambo mengi sanaUkumbuke kodi ni based on cc mzee[emoji23]