wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wajerumani weusi wanakuja kukujibu,stay tuned.Huwez ukawa unamilik gari ya mjerumani halafu unawaza wese. Bora ukamilik FEKON from Beijing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajerumani weusi wanakuja kukujibu,stay tuned.Huwez ukawa unamilik gari ya mjerumani halafu unawaza wese. Bora ukamilik FEKON from Beijing
Acha kudanganya watu wewe, gari yenye engine kavu hiyo ni lini ilianza kutembea 1lt kwa klm 22?Gari: carina my road , dar -moshi 550k lita 26 petrol
Kajamaa kaongo sana,hiyo gari ni kavu kabisa hainaga viungo tu, yaani ni technology ya kizamani kabisaHiyo no average ya km 22 / L, gari yako ina engine ya bajaji mkuu ? [emoji16]
Hata kama sijawahi acha kudanganya watu, yaani umeongea lita kumpita mtengenezajiulishawahi kumiliki hata baiskeli- phoenix?
Chuna gani hii?
Nazikubali sana, ndio ya kwanza kuitumiaGari: carina my road , dar -moshi 550k lita 26 petrol