Gari Yako inatumia Mafuta kiasi gani kwa Km 500?

Gari Yako inatumia Mafuta kiasi gani kwa Km 500?

Hiyo no average ya km 22 / L, gari yako ina engine ya bajaji mkuu ? [emoji16]
Fanya yafuatayo ili upate 22km/l: weka plugs mpya, weka fuel filter mpya, flush engine na engine flush au kerosine, fungua oil sample na isafishe vizuri, ifunge, funga oil filter mpya, weka engine Oil mpya- castrol, petrol weka ya kampuni ya total
 
Nadhani kwa kilometa hizo nitatumia wese la laki moja.

Nikitoka mtaani(dar) mpaka dom, naweka wese la laki na nikifika kule bado wese lipo la kupiga misele miwili mi3

Chuma ni cc 2000, mzigo diesel.
 
Bei ya Mkoanj ilikuwa ina range kwa 2560 kwa bei za oil com, Orasit, oryx, Lake oil etc...ila Puma na Engen ni 2660
 
Hata bajaj haifiki hizo kilometa
Usiwe mvivu ingia tu hata kwenye web ya suzuki,angalia hilo toleo,utajua hujui
Kwa hio na ww una gari ?? Na inakupa hio mileage😁😁 au umeenda gugo manake kule wameandika 20-37 sasa na ww umechukua hio ya mwsho umeleta huku😁😁 we jamaa akili zako sio ..nakwambia hivi hata bajaj hupati hio mileage
Narudia tena,nenda kwenye web ya kampuni husika ukapate taarifa sahihi kutoka kwa wazalishaji,habari za umri zinahusiana nn na uzi huu ndugu?

Halafuuuuuu,nisingependa kusema ila nikuambie tu,mi ndio kigari changu cha kupigia misele mjini,tena kinakula zaidi ya hiyo 37 kama ukicheza na speed na accelerator vizuri
 
Back
Top Bottom