Revolution 22
Member
- Jun 11, 2021
- 68
- 150
Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
Speed sensor ndio changamoto tafuta fund wa umeme WA gari anasolveWakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
Shukran sana mkuuSpeed sensor ndio changamoto tafuta fund wa umeme WA gari anasolve
Toyota ist ya 2004 engine 2nzKwanza sema gari ya kampuni gani na toleo maana mifumo inapishana kwa kila kampuni na toleo