Gari yangu ikifika speed kuanzia 100kph inakua nyepesi, inataka kutoka barabarani, ii imekaaje!

Gari yangu ikifika speed kuanzia 100kph inakua nyepesi, inataka kutoka barabarani, ii imekaaje!

sasa hapa mkuu, ajali ikitokea si ndo kugongaana na hayo mawe na matofali ndani ya gari........mimi naona asindikizwe na baby pamoja na dada yake kurudi hom....
😆😆
 
Ndugu nunua gari basi achha kupata shida kama hizo, kanunue gari ndugu yangu narudia tena kanunue gari hiyo sio gari
ila kwa ushauri weka viroba vya mchanga hata viwili au vitatu vya kilo 100 kwa kila kiroba hapo gari itakuwa nzito
lakini pia ndugu mwendo mkali unaua haina maana kuwa mwendo mdogo hauwezi kuuwa ila kuna tofauti sana ya mtu anayetembea nje usiku wa manane maeneo ya vibaka na anayecheza ndani kwake na mke wake usiku wa manane
Sijakuelewa hapo paragraph ya mwisho. Kwamba vibaka, kucheza na mke?
 
Gari yako ni nyepesi sana sababu imetengenezwa na mabati malaini.
Ushauri wangu uwe unaweka mawe ndani ya gari kabla hujaanza safari! Weka mawe au tofali za kutosha ndani ya gari ili kuepuka hatari inayoweza kutokea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imenbidi ncheke kwa kweli weee mrusi huna akili
 
Kwanza umetuletea mada zaidi ya tatu kwa mpigo..

1..Umetueleza unavyospend na demu wako gheto...

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa wheel balance ama pia bushings za wishbone zikiwa zimeisha kunakuwa na hali flani ya play...Gari halitulii!

Kwenye high speed ni hatari maana ile njia ya Tegeta mwenge kuanzia Usawa wa Lugalo hadi makongo njia ina mawimbi sana. Kwa speed kali na gari jepesi lazima ihame.

Kufunga low profile tires husaidia kwa kiasi chake. Mie naipata 140kph gari ikiwa stable kabisa japo sipendi kuifikisha gari huko.
 
Ongeza speed iwe kilo metter 140 kwa saa itatulia barabarani itakuwa aiwi tena nyepesi itakuwa nzito[emoji41]
 
Ushasema ni babywalker sisadhan kama Kuna haja ya kujadili hapo.

Halaf hizo story za demu wako zilikuwa na ulazima sana?
Tena anapikiwa chakula kitamu sana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kufunga low profile tires husaidia kwa kiasi chake. Mie naipata 140kph gari ikiwa stable kabisa japo sipendi kuifikisha gari huko.
Low Profile tires ndio zikoje bro. Yaani tairi fupi fupi? Mfano rim size nilizonazo ni 185/65/R14 kwahiyo natakiwa nizitoe niweke 175/65/R13?
 
Low Profile tires ndio zikoje bro. Yaani tairi fupi fupi? Mfano rim size nilizonazo ni 185/65/R14 kwahiyo natakita nizitoe niweke 175/65/R13?
Hapana mkuu, Low profile maana yake tairi pana zenye nyama fupi pembeni.
Unaweza ukaweka 205-225/55 R15 zitaipa gari balance pamoja na mvuto zaidi.
mi_premier_as_full.jpg
 
Back
Top Bottom