Gari yangu ikifika speed kuanzia 100kph inakua nyepesi, inataka kutoka barabarani, ii imekaaje!

Gari yangu ikifika speed kuanzia 100kph inakua nyepesi, inataka kutoka barabarani, ii imekaaje!

Pole sana...

Kama uliweka spacer kunyanyua gari zitoe...
Funga madirisha ukiataka kukimbiza gari...

Cc: mahondaw
 
Vp leo huendi kwa shemeji ukale chakula kitamu mkuu urudi usiku wa manane ufanye ligi barabarani ukiwa umeshiba chakula kitamu hongera yako kwa kuwa na shemeji anaejua kupika
 
Back
Top Bottom