50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Mtihani huo mkuuThermostat haipo kabisa ilisha tolewa
Wahandisi wakiweka chombo kwenye engine ina maana na kazi yake.
Zingatia hili mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtihani huo mkuuThermostat haipo kabisa ilisha tolewa
Kwa hiyo hizo harakati zote za matengenezo umezifanyia Katoro/Geita?Naomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoro
Nunua mswaki 1.3m itakusumbua bure hizo injini ndogo mafundi hawaziwezi.Tumebadili pia
Kwamba niweke 2JZNunua mswaki 1.3m itakusumbua bure hizo injini ndogo mafundi hawaziwezi.
Mzee hatari hio bossAu gari inadeka tu!
Nimewahi kuwa na IST,ukipiga tuta au Rasta ukiwa kwenye 50Km au zaidi inakuwashia check engine.
Unaegesha pembeni unazima gari halafu una restart huoni taa hata mwaka mpaka ukite tuta tena mwishowe kakaacha kenyewe kakaanza kuwasha taa ya airbag nayo kakaacha.,[emoji16].
NdiyoKwamba niweke 2JZ
Hapa inatakiwa tufanye nini maana niliichukua fen yake ikiwa imelokiwa maana ilikua imekufa sasa ukiwasha gari inapiga sana kelele kama unaiandaa ndege kuruka ikabidi ninunue klachi feni mpya ili irudishwe kwenye mfumo wakeHiyo kama ina sensor ya auto kuwasha fen engine inapopata joto ikifa ndio huwa hivyo ukiwa speed engine inapoa mshale unashuka ila ujiwa folen au silencer mshale hupanda mpaka juu badilisha hiyo sensor.
Dah!! Katoro to Mbeya na Brevis inayochemsha?? Mungu akutangulieNaomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoro
Kwa nini pm? Situmii pm.FaizaFoxy hatutupi kitu labda ishindwe kuwaka kabisa na hapo unabidilisha engine unafunga nyingine. Mkuu halafu nina maswali kuhusu CDC group naweza kukuuliza pm?
Daah nimecheka kifala, ila ni kweli hivi vi ist ukipita nacho raf road taa ya check engine inawaka. Kuhusu mdau hapa naona bora afunge fan direct tu maana kwa maelezo yake spidi ikiwa ndogo ndio inapandisha temp na ikiwa mwendo mkali means ikipigwa na hewa temp inashuka. ovyaz tatizo litakua moja kwa moja katika fan either haifunguki sana. Akienda garage kuna dizain ya kuliongezea nguvu fan kuzunguka na tatizo litakua limeisha.Au gari inadeka tu!
Nimewahi kuwa na IST,ukipiga tuta au Rasta ukiwa kwenye speed zaidi ya 50Km/h inakuwashia check engine.
Unaegesha pembeni unazima gari halafu una restart huoni taa hata mwaka mpaka ukite tuta tena mwishowe kakaacha kenyewe kakaanza kuwasha taa ya airbag nayo kakaacha.,😁.
hakikisha feni inafunguka vizuriThermostat haipo kabisa ilisha tolewa
Inaweza ikawa sensor hio jaribu kutafuta fundi wa wiring afanye diagnostics.Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu, mshale wa hit unapanda sana, kupelekea taa ya "Check Engine" kuwaka. Lakini ukiwa kwenye mwendo mkali, mzunguko wa weni ukiiongezeka, mshale unadeshishuka na taa ya "Check Engine" inazima. Lakini ukipunguza mwendo, taa ya "Check Engine" inawaka. Sasa sijui nifanyeje.
Mafundi wamegusa kila kona, hadi kubadili gasket, lakini bado hakuna majibu. Wanadai gari haina viashiria vya kuchemsha. Hata paipu ya maji kupeleka kwenye injini ipo sawa, lejeta ya maji iko kwa hali nzuri.
Hisia zao zinadai dashbord ilichezewa, na wakati ikirudishiwa, mishale ilikaa sehemu si sahihi. Naombeni msaada. Nimepeleka sehemu moja kupima kwenye mashine, jamaa anayepima akadai mashine haisomi, mfumo wake umechezewa. Sasa sijui nifanyeje.
Wataalam, msaada.
Yah hapo mchawi ni fan tu kutokana na maelezo yake. Ajabu kashabadilisha hadi gasket daah mafundi hawa!hakikisha feni inafunguka vizuri