Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

Naomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoro
Kwa hiyo hizo harakati zote za matengenezo umezifanyia Katoro/Geita?

Ukifika Kahama nenda garage inaitwa MRS Motors wapo Malunga wakuchekie.

Ni Toyota (Tz) Authorized service workshop.
 
Au gari inadeka tu!

Nimewahi kuwa na IST,ukipiga tuta au Rasta ukiwa kwenye speed zaidi ya 50Km/h inakuwashia check engine.

Unaegesha pembeni unazima gari halafu una restart huoni taa hata mwaka mpaka ukite tuta tena mwishowe kakaacha kenyewe kakaanza kuwasha taa ya airbag nayo kakaacha.,😁.
 
Au gari inadeka tu!

Nimewahi kuwa na IST,ukipiga tuta au Rasta ukiwa kwenye 50Km au zaidi inakuwashia check engine.

Unaegesha pembeni unazima gari halafu una restart huoni taa hata mwaka mpaka ukite tuta tena mwishowe kakaacha kenyewe kakaanza kuwasha taa ya airbag nayo kakaacha.,[emoji16].
Mzee hatari hio boss
 
Hiyo kama ina sensor ya auto kuwasha fen engine inapopata joto ikifa ndio huwa hivyo ukiwa speed engine inapoa mshale unashuka ila ujiwa folen au silencer mshale hupanda mpaka juu badilisha hiyo sensor.
 
Hiyo kama ina sensor ya auto kuwasha fen engine inapopata joto ikifa ndio huwa hivyo ukiwa speed engine inapoa mshale unashuka ila ujiwa folen au silencer mshale hupanda mpaka juu badilisha hiyo sensor.
Hapa inatakiwa tufanye nini maana niliichukua fen yake ikiwa imelokiwa maana ilikua imekufa sasa ukiwasha gari inapiga sana kelele kama unaiandaa ndege kuruka ikabidi ninunue klachi feni mpya ili irudishwe kwenye mfumo wake
 
tatizo linaweza kuwa feni inazunguka lakini haizunguki ipasavyo kwa hio ukikimbia upepo unapita kwenye rejeta na kupooza maji..angalia feni wameiweka vizuri hizo panga zake kuna kesi kama hio niliwahi kukutana nayo panga zimegeuzwa maji hayapoozi...rejeta ingekuwa chafu kama umeisafisha sawa kagua mfumo wa maji toa kale kanini jina limenitoka kama bado kapo ka kutuhusu maji
 
FaizaFoxy hatutupi kitu labda ishindwe kuwaka kabisa na hapo unabidilisha engine unafunga nyingine. Mkuu halafu nina maswali kuhusu CDC group naweza kukuuliza pm?
Kwa nini pm? Situmii pm.

Uliza majukwaa ya wazi.

Hayo magari Japan yalikuwa yaende scrap, limekuja hapa umeshalitumia miaka kibao tena barabra zenyewe za vijijini huko, hayo yaliundwa kwa njia za lami tu. Hiyo kiuhasibu ni liability.

Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Au gari inadeka tu!

Nimewahi kuwa na IST,ukipiga tuta au Rasta ukiwa kwenye speed zaidi ya 50Km/h inakuwashia check engine.

Unaegesha pembeni unazima gari halafu una restart huoni taa hata mwaka mpaka ukite tuta tena mwishowe kakaacha kenyewe kakaanza kuwasha taa ya airbag nayo kakaacha.,😁.
Daah nimecheka kifala, ila ni kweli hivi vi ist ukipita nacho raf road taa ya check engine inawaka. Kuhusu mdau hapa naona bora afunge fan direct tu maana kwa maelezo yake spidi ikiwa ndogo ndio inapandisha temp na ikiwa mwendo mkali means ikipigwa na hewa temp inashuka. ovyaz tatizo litakua moja kwa moja katika fan either haifunguki sana. Akienda garage kuna dizain ya kuliongezea nguvu fan kuzunguka na tatizo litakua limeisha.
 
Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu, mshale wa hit unapanda sana, kupelekea taa ya "Check Engine" kuwaka. Lakini ukiwa kwenye mwendo mkali, mzunguko wa weni ukiiongezeka, mshale unadeshishuka na taa ya "Check Engine" inazima. Lakini ukipunguza mwendo, taa ya "Check Engine" inawaka. Sasa sijui nifanyeje.

Mafundi wamegusa kila kona, hadi kubadili gasket, lakini bado hakuna majibu. Wanadai gari haina viashiria vya kuchemsha. Hata paipu ya maji kupeleka kwenye injini ipo sawa, lejeta ya maji iko kwa hali nzuri.

Hisia zao zinadai dashbord ilichezewa, na wakati ikirudishiwa, mishale ilikaa sehemu si sahihi. Naombeni msaada. Nimepeleka sehemu moja kupima kwenye mashine, jamaa anayepima akadai mashine haisomi, mfumo wake umechezewa. Sasa sijui nifanyeje.

Wataalam, msaada.
Inaweza ikawa sensor hio jaribu kutafuta fundi wa wiring afanye diagnostics.
 
Back
Top Bottom