Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

Aise pole sana..
Kwa sababu umesema kuna wakati inawasha CEL,,
Nenda kafanye diagnosis....

Unaweza ukakuta Coolant Temperature Sensor imekufa, hivyo inqshindwa kutoantaarifa ili feni iwake kwa wakati..

Au huenda feni yako ina shida, huenda inafunguka ila siyo sana.
 
Nna wasi wasi na temperature sensor inatoa wrong signal to ECM
 
Back
Top Bottom