Gari yangu inajizima nini tatizo?

It seems unaendeshea kwenye manual mode ,..ilishawahi nitokea hilo tatizo niliset katika manual mode harafu nikawa sibadilishi gear, sasa gari ikifika rev limit inajibadilisha yenyewe gear hadi gear ya mwisho na ukiwa kwenye mlima kama itakuwa imefika gear ya mwisho inajizima mpaka uwashe tena.
 
Tatizo ni Nissan, ungekuwa unaendesha Toyota C-HR wala hazinaga baya
Dah we jamaa hua nasoma comment nyingi za wadau hua wanasema mtetezi wa mjapan kweli nimekubali hii kauli hongera

Naona wamekufurahisha kweli yani

Au wamekupa ka bint chao kimoja(jokes) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…