ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 246
Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani...Umeangalia betri imekaza vizuri? Zile terminal za betri zimekaza vizur?
Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Kwahio upo zako town gari pyuu afu inaanza kulia alarm😳😳🤔Same na yangu, but ikizima inapiga alarm. Nadhani tatizo ni walikosea kwenye alarm. Nataka niitoe kabisaa
Nimemuuliza ili kma tatizo sio hilo tuangalie lingineKwani...
Ukiwasha gari, ukaacha iungurume baada ya muda ukachomoa terminal za battery, itazima?
Kwani...
Ukiwasha gari, ukaacha iungurume baada ya muda ukachomoa terminal za battery, itazima?
Nenda Mwenge pale ilipokua Calabash zamani, Kuna Fundi mzuri sana, muulizie hapo carwash, atakuja na mashine yake atarekebisha faster. Na tatizo utalijulia Hapobetry ipo vzur tu na ni gari mpya
Tatizo linatokea ukiwa unaendesha tu?Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
kwani kuna sehemu ameandika anaishi dar we unamuelekeza aende mwenge kama yupo kataviNenda Mwenge pale ilipokua Calabash zamani, Kuna Fundi mzuri sana, muulizie hapo carwash, atakuja na mashine yake atarekebisha faster. Na tatizo utalijulia Hapo
poleeeeSame na yangu, but ikizima inapiga alarm. Nadhani tatizo ni walikosea kwenye alarm. Nataka niitoe kabisaa
Aende Katavikwani kuna sehemu ameandika anaishi dar we unamuelekeza aende mwenge kama yupo katavi
Tatizo ni Nissan, ungekuwa unaendesha Toyota C-HR wala hazinaga bayaNina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Dah we jamaa hua nasoma comment nyingi za wadau hua wanasema mtetezi wa mjapan kweli nimekubali hii kauli hongeraTatizo ni Nissan, ungekuwa unaendesha Toyota C-HR wala hazinaga baya
we siyo bure, huenda toyota walikuolea mke.Tatizo ni Nissan, ungekuwa unaendesha Toyota C-HR wala hazinaga baya
Nissan baadhi zina tatizo la Tanesco tena usijichanganye ukaendesha kipindi cha mvua hizi ni noma😀Niliwahi kusoma uzi humu, inaonyesha hizi Dualis zina shida,nadhani inaweza kuwa ni handling au manufacturers defect...
Braza nakuzibia rizki😀we siyo bure, huenda toyota walikuolea mke.