Gari yangu inajizima nini tatizo?

Gari yangu inajizima nini tatizo?

Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Gari yako inaweza kuwa ina miss. Ili kujua kama ina miss iweke kwenye D halafu ushike brake uone inavyohema. Ukiona kuna utofauti kaangalie vitu hivi coil, plugs, nozle hapa kwenye nozle angalia zile nyaya zake. Mi ya kwangu imenisumbua almost miezi minne huko Dar kila fundi unayemwambia anakupa ushauri wake. Wengine hadi wakafungua injection kuisafisha. Ila fundi wangu mmoja ndo nilimpa yupo dodoma akakagua akakuta kuna nozzle moja waya wakr ulikuwa umekatika
 
Tumia diagnosis machine kugundua tatizo, labda tatizo likawa ni sensor.
 
Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Tupe update mkuu ni kweli ulikuwa ynaendeshea manu mode…..maana ina mode mbili na wengi huwa wanazioverheat kwa kuzipiga manual gear moja
 
Back
Top Bottom