JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hamna kwani kuna mtu anatake haya mambo serious?😄Braza nakuzibia rizki😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kwani kuna mtu anatake haya mambo serious?😄Braza nakuzibia rizki😀
Badili camshaft position sensor tatizo litaishaNina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
By the way JituMirabaMinne kama inaikumbuka ile Will VS na tatizo lake la VVT sensor, tatizo liliisha na check engine light haikuwaka tena.Kama upo Dar mtafute @JituMirabaMinne ata sort hiyo.
Last time uliniambia iliwaka,By the way JituMirabaMinne kama inaikumbuka ile Will VS na tatizo lake la VVT sensor, tatizo liliisha na check engine light haikuwaka tena.
Haikuwaka tena hadi leo.Last time uliniambia iliwaka,
Haikuwaka tena baada ya hapo?
Okayy mkuu....Haikuwaka tena hadi leo.
Kama alternator iko vzuri hata uchomoe battery, gari haizimi. Unaweza fika nayo mpaka kgoma. Ila hutoweza kuwasha taa, kupiga horn, nk.Kwani...
Ukiwasha gari, ukaacha iungurume baada ya muda ukachomoa terminal za battery, itazima?
Gari yako inaweza kuwa ina miss. Ili kujua kama ina miss iweke kwenye D halafu ushike brake uone inavyohema. Ukiona kuna utofauti kaangalie vitu hivi coil, plugs, nozle hapa kwenye nozle angalia zile nyaya zake. Mi ya kwangu imenisumbua almost miezi minne huko Dar kila fundi unayemwambia anakupa ushauri wake. Wengine hadi wakafungua injection kuisafisha. Ila fundi wangu mmoja ndo nilimpa yupo dodoma akakagua akakuta kuna nozzle moja waya wakr ulikuwa umekatikaNina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
Tupe update mkuu ni kweli ulikuwa ynaendeshea manu mode…..maana ina mode mbili na wengi huwa wanazioverheat kwa kuzipiga manual gear mojaNina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?