Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

Jiandae kupaki kwa taa hiyo ya pink.
 
Ni toyota IST ndugu
 
Ya mkanda nikifunga inaondoka ila jizo mbili haziondoki msaada pliz
waone mafundi haraka kiongozi, sababu hiyo ya engine ni issue lakini hiyo airbag haina tatizo saana ...
 
Dah ..kumbe umepata gari tayari chief πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
...Safi sana...manyo au auto?
Unaweza kuanzia hapa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Toyota Dashboard Lights & Symbols Guide
 
Yah linatembea vizuri tu.
Haya iendeshe upeleke kwa fundi wako gereji,kama unataka kujifunza ufundi magari nenda Veta watakwambia hizo taa zina kazi gani na nyingine nyingi.Unapoamua kuomba msaada hapa JF basi uwe umekwama mahali unahitaji msaada unaoeleweka.Halafu weka mafuta ya kuyosha tanki litatoboka kwa sababu ya kuweka robo tank.Weka full tank OVA
 
Kwanza usiendeshe gari bila kufunga mkanda, pili airbag ina shida nenda kacheki kwa findi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…