relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Jiandae kupaki kwa taa hiyo ya pink.habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.