Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
Jiandae kupaki kwa taa hiyo ya pink.
 
Kama ni Magari ya ulaya hiyo taa ya airbag kuna mahali kuna kiswitch unatakiwa uweke airbag off kama umempakiza mtoto na huwa inawaka endapo mkandamizo au uzito wa aliyekaa au kito ulichoweka kiti cha mbele haukufika wastani fulani.

Hiyo ya check engine inawezekana ni muda wa services, air sensor, plugs, water system, ama oil levels havipo sawa. Muone fundi.

All the best
Ni toyota IST ndugu
 
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
Dah ..kumbe umepata gari tayari chief 😀😀😀😀
...Safi sana...manyo au auto?
Unaweza kuanzia hapa 😀😀😀😀😀
Toyota Dashboard Lights & Symbols Guide
 
Yah linatembea vizuri tu.
Haya iendeshe upeleke kwa fundi wako gereji,kama unataka kujifunza ufundi magari nenda Veta watakwambia hizo taa zina kazi gani na nyingine nyingi.Unapoamua kuomba msaada hapa JF basi uwe umekwama mahali unahitaji msaada unaoeleweka.Halafu weka mafuta ya kuyosha tanki litatoboka kwa sababu ya kuweka robo tank.Weka full tank OVA
 
Kwanza usiendeshe gari bila kufunga mkanda, pili airbag ina shida nenda kacheki kwa findi
 
Back
Top Bottom