Gari yangu ipo njiani inakuja, naombeni ushauri

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Niliagiza gari, ndio namiliki gari kwa mara ya kwanza hivyo vitu vingi bado ni mshamba hivyo nahitaji ushauri wetu mniongoze.

Wakati naagiza gari nilishaangalia makadirio ya kodi kwenye website ya TRA, pesa yao ya kodi ipo tayari pia kuna milioni moja ya dharura. Sasa nahitaji kujua yafuatayo;

1. Gari ninayoagiza ni ya kibiashara, nataka iwe taxi. Je, kuna kodi za biashara ntatakiwa kulipa kabla au nitakuja kulipa nikianza biashara?

2. Gharama za ku clear gari bandarini pamoja na kulipa kampuni ya clearing zipoje?

3. Kampuni ipi ya clearing ni wazuri kwenye kutoa mizigo yako bandarini, wanafanya haraka na kwa uaminifu? huwa nasikia sana habari za kuchomolewa radio au vitu vingine kwenye gari

Naombeni mnitoe ushamba wakuu, mshamba wakati wa kwenda 🙂
 
PM me mzee
 
  • Thanks
Reactions: lup
siku hizi huibiwi kitu bandarini... labda agent akuibie yeye.. ukiibiwa chochote unadai..

gharama za kutoa gari ni around laki 3 agent fee.. na port charges na dharura.. hazizidi milioni moja.... so ukijumlisha na kodi ya tra... unatoa gari yako...

kama umeshajipanga kuhusu kodi... tenga 1m tu ya ziada.... inafanya kila kitu
 
Wakuu,

Niliagiza gari, ndio namiliki gari kwa mara ya kwanza hivyo vitu vingi bado ni mshamba hivyo nahitaji ushauri wetu mniongoze.

Wakati naagiza gari nilishaangalia makadirio ya kodi kwenye website ya TRA, pesa yao ya kodi ipo tayari pia kuna milioni moja ya dharura. Sasa nahitaji kujua yafuatayo;

1. Gari ninayoagiza ni ya kibiashara, nataka iwe taxi. Je, kuna kodi za biashara ntatakiwa kulipa kabla au nitakuja kulipa nikianza biashara?

2. Gharama za ku clear gari bandarini pamoja na kulipa kampuni ya clearing zipoje?

3. Kampuni ipi ya clearing ni wazuri kwenye kutoa mizigo yako bandarini, wanafanya haraka na kwa uaminifu? huwa nasikia sana habari za kuchomolewa radio au vitu vingine kwenye gari

Naombeni mnitoe ushamba wakuu, mshamba wakati wa kwenda 🙂

Ukiagiza gari ya biashara hakutakua na gharama za ziada zaidi ya ushuru, gharama za bandari na ada ya uwakala (agency fee). Ingawa ukumbuke kumueleza agent kwamba gari husika ni la biashara ili iweze kua declared as commercial vehicle na kupata plate namba nyeupe.
Gharama za ku-clear gari bandarini ni kama ifuatavyo;

1.Gharama za wakala wa meli (shipping line agent) haizidi $80 (Delivery Order fee, sumatra charges, car service charges) kwa most salon car.
2.Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT per CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu). mfano Toyota IST ina CBM 10.12, kwa hiyo handling charges: (10.12 x $7) + VAT = $83.59
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano kwa IST inakua: (10.12 x $0.3) + VAT =$3.59
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value plus VAT AU $200 x CBM x 1.6% hapa inachukiwa ambayo ni kubwa (whichever is higher). mfano Toyota IST yenye C.I.F $ 2,235, wharfage charges: ($2,235 X 1.6%) + VAT =$42.20.AU ($200 X 10.12 x 1.6% ) + VAT= $38.21.
3. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee), kampuni yangu itaku-charge tsh.200,000) na tunapatikana kwa anuani ifuatayo;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Na niseme tu, bandari yetu ni salama hakuna udokozi au wizi wowote, ulinzi wa kiteknologia umeimslishwa mno ndani ya bandari..
 
Asante mkuu, nakucheki pm
 
Mkuu upo sawa ntakutafuta ila mimi natumia Tunduma boarder sijui mna Wakala wenu pale au ingawaje najua inawezekana kuna jamaa hakua na ofisi Tunduma nilikua natuma taarifa za gari kwake nikiwa SA napofika Tunduma usiku ni kukujulisha tuu asubuhi zifanyie kazi nilipe niondoke maana gari inakua na vitu vingi mzigo sitaki ikae..
 
Ndio mkuu Tunduma kuna representative wetu. Karibu sana, tunafanya kazi kwa uaminifu, haraka ufanisi na kwa bei nzuri.
 
Ukiagiza gari ya biashara hakutakua na gharama za ziada zaidi ya ushuru, gharama za bandari na ada ya uwakala (agency fee). Ingawa ukumbuke kumueleza agent kwamba gari husika ni la biashara ili iweze kua declared as commercial vehicle na kupata plate namba nyeupe.
Gharama za ku-clear gari bandarini ni kama ifuatavyo;

1.Gharama za wakala wa meli (shipping line agent) haizidi $80 (Delivery Order fee, sumatra charges, car service charges) kwa most salon car.
2.Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT per CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu). mfano Toyota IST ina CBM 10.12, kwa hiyo handling charges: (10.12 x $7) + VAT = $83.59
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano kwa IST inakua: (10.12 x $0.3) + VAT =$3.59
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value plus VAT AU $200 x CBM x 1.6% hapa inachukiwa ambayo ni kubwa (whichever is higher). mfano Toyota IST yenye C.I.F $ 2,235, wharfage charges: ($2,235 X 1.6%) + VAT =$42.20.AU ($200 X 10.12 x 1.6% ) + VAT= $38.21.
3. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee), kampuni yangu itaku-charge tsh.200,000) na tunapatikana kwa anuani ifuatayo;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Na niseme tu, bandari yetu ni salama hakuna udokozi au wizi wowote, ulinzi wa kiteknologia umeimslishwa mno ndani ya bandari..
Umemjibu vizuri sana, kama watanzania wote tungekuwa hivyo mambo yangekuwa mazuri sana, sio mambo ya njoo PM kwani mnauziana bangi?
 
Hiyo gari umenunua bei gani, ni mtumba au new brand
 
Mkuu Hata Mimi Nimekukubali
 
Umemjibu vizuri sana, kama watanzania wote tungekuwa hivyo mambo yangekuwa mazuri sana, sio mambo ya njoo PM kwani mnauziana bangi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiagiza gari ya biashara hakutakua na gharama za ziada zaidi ya ushuru, gharama za bandari na ada ya uwakala (agency fee). Ingawa ukumbuke kumueleza agent kwamba gari husika ni la biashara ili iweze kua declared as commercial vehicle na kupata plate namba nyeupe.
Gharama za ku-clear gari bandarini ni kama ifuatavyo;

1.Gharama za wakala wa meli (shipping line agent) haizidi $80 (Delivery Order fee, sumatra charges, car service charges) kwa most salon car.
2.Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT per CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu). mfano Toyota IST ina CBM 10.12, kwa hiyo handling charges: (10.12 x $7) + VAT = $83.59
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano kwa IST inakua: (10.12 x $0.3) + VAT =$3.59
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value plus VAT AU $200 x CBM x 1.6% hapa inachukiwa ambayo ni kubwa (whichever is higher). mfano Toyota IST yenye C.I.F $ 2,235, wharfage charges: ($2,235 X 1.6%) + VAT =$42.20.AU ($200 X 10.12 x 1.6% ) + VAT= $38.21.
3. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee), kampuni yangu itaku-charge tsh.200,000) na tunapatikana kwa anuani ifuatayo;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Na niseme tu, bandari yetu ni salama hakuna udokozi au wizi wowote, ulinzi wa kiteknologia umeimslishwa mno ndani ya bandari..
Nimekukubali sana mzee, uko straight forward. Kuna gari toka Japani, lakini kwenye CIF price wanaandika 'Dar es salaam + clearing'. Je, hii inamaana wanakufanyia na clearance, au inakuwaje?.
 
clearing ni agency fee ambayo ni hiali ( optional) ukihitaji wanakujumulishia kwenye kwenye CIF value. Agency fee zao ziko juu, $150 mpaka $250 wakati sisi tunatoza tsh. 200,000 ambayo ndo bei ya soko. Ndo maana wengi hua hawaombi clearing.
 
Asante sana mkuu. Na kwa uzoefu wako, gari ya CFI usd 3500 mpaka niipate inaweza gharimu sh ngapi?
 
Back
Top Bottom