Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

kuroiler

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
50
Reaction score
24
Naomba mtu mwenye uzoefu na gari hili spacio old model 1580cc,inakula litre 1kwa km 6,nilimpelekea fundi akaniambia plug zipo sawa. Naomba msaada nifanye nn?
 
Angalia vizuri kama taa engen haiwaki na angalia vizur vacium sensor kipo pemben ya engeni kina waya tatu na kina kipipe kimeingia kwa chini kipo sawa
 
Angalia vizuri kama taa engen haiwaki na angalia vizur vacium sensor kipo pemben ya engeni kina waya tatu na kina kipipe kimeingia kwa chini kipo sawa
Thanks nanawoo, nakusanya ushauri ili nikienda kwa fundi niwe vizuri, hivi bei ya engine used inaendaje?
 
Milion moja na laki tatu ilala shauri moyo unapata na hata pungufu ya hapo pia kutokana na uongeaji wako na utakaemkuta dukan maana pale wengi ni madalalal tu na ndo wanawaumiza wanunuzi ukimjua mwenye duka utapata chini na ukiwakuta madalal wankuanzia moja 5
 
Hiyo inakua full pamoja ni gear box? Vp ubora wake, huwa zinakua zimetumika bongo au Japan?
 
niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walitoa ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.
 
Back
Top Bottom