Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Duh mkuu hongera sana, inakula vzr sana. Sema gari nying zenye consumption ndogo ziko chini alafu nying zina shape mbaya mf ProboxSpacio yangu inatumia litre 1 kwa km 12, sijui ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mkuu hongera sana, inakula vzr sana. Sema gari nying zenye consumption ndogo ziko chini alafu nying zina shape mbaya mf ProboxSpacio yangu inatumia litre 1 kwa km 12, sijui ni sawa?
Mkuu, kwa kusaidia tungeomba utuelekeze huyo fundi anapatikana garage ipi, ukifika hapo umuuluze kwa jina gani. Kwa kuwa PM inaweza kuwa ngumu kwa kila mmoja kujoin PM, hivyo ukitoa maelekezo tutakuelewa tu.niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walitoa ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.
Mkuu nozzle zipo. Kama ni Four Cylinder basi ziko 4,V6 ziko sita. Zina vitundu vidogo mno ambavyo kama zina uchafu au zimetanuka ni shidaa. Zikiwa na uchafu hutolewa na kulowekwa kwenye thinner, uchafu ukiwa dissolved, ukaondolewa gari inakuwa laini, ina pulling na kwa hiyo haili mafuta kabisaEngine ya petrol haina nozzle bali plugs.
Bosi ukifanikiwa toa mrejesho mie yangu ilinisumbua nikaamua kuipaki na kuiicha kwa shughuli maalum..kwenye mafuta utafikiri kuna jini mahaba ndani ya engine..niko mkoaniNaomba mtu mwenye uzoefu na gari hili spacio old model 1580cc,inakula litre 1kwa km 6,nilimpelekea fundi akaniambia plug zipo sawa. Naomba msaada nifanye nn?
Bosi ukifanikiwa toa mrejesho mie yangu ilinisumbua nikaamua kuipaki na kuiicha kwa shughuli maalum..kwenye mafuta utafikiri kuna jini mahaba ndani ya engine..niko mkoani
Ndo hicho hicho mafundi wanakiita kibuyuSmart. .Leo nikipata muda nitafatilia ya kwangu. ..niliona ulikipost..au ni kitu tofauti?
Yah kwa dar ni rahc, ila fundi ameangalia kilichopo kuwa hakifai?Bosi hicho kifaa kinapatikana kwa urahisi huko Dar? Tumekitafuta huku mkoani bila mafanikio
Unaweza tuma mtu akutafutie huku ilala kwa watu wanakata magari ya ajari na mabovuAlishauri tubadili na nilipenda mie pia vilevile tutafute kingine maana chujio la udongo unalolisema halipo...tunafanya trial maana kama ni pesa nimetumia sana kujaribu kutatua hilo tatizo
Hahaha pole uckate tamaa, mafundi wanafanya kazi kwa experience tuuYangu Raum new model imenitesa sana, 1 litre 8km, mafundi wakanigeuza mtaji, kuna fundi alikaribia kununua Raum yake kupitia Raum yangu! Nimepaki kwa sasa naendesha scooter
nipo dar pia,inatatzo hlo hlo? Kesho ntakuchekia ipo kwenye simu ingne
kabisa tena manual yake ndo inaenda fresh unaweka gia mda unataka mda wote unatembelea no nne hata ford figo hvo hvoSeriously?
Hahahahaha hebu kua basii acha kunivunja mbavu mm hahahahahahahahaaaaaaamshana njoo huku kuna gar inataka kuingia kwenye maajabu saba ya dunia