niliwekaga uzi mwaka 2013 wa kuhusu ist,yangu ilikua unakula 4km kwa litre 1,yaan ukiweka mafuta litre 7.xx wakat ule ukitoka ubungo ukaenda temeke davis kona ukirud ubungo taa ya mafuta inakuwakia bugurun, gari nilinunua 2012 cc 1490 4wd watu walitoa ushaur lakn hakuna hata mmoja alieweza kutibu tatzo,mara air sensor,mara vacuum sensor,mara kaipime engne kwenye computr na vngne ving nilifanya,gari iko pale pale,nikatangaza kuuza watu hawaitak nikapaki nikanunua ti 3rd hand saafi nikatesa,mwaka jana alikuja fundi akaigusa ki2 kidogo sana ile ist ikawa mpya, km 14 kwa litre yaan mafuta ya elfu kumi kwa sasa naenda kgambon kuptia kongowe tokea hapa ubungo maziwa na kurud taa ya mafuta haijawaka.Fundi nilipomuuliza akasema ni rubber za kwenye nozzel,plz kachek pia hzo rubber ukishndwa ni pm nikuunganishe na fundi.