Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

Suzuki cc2000 inapaswa kula lita 1 kwa kms ngapi?

Na je kuweka ac on muda wote inaongeza matumizi ya mafuta?
 
nuyu mshana ni hatari kwenye technolojia yupo vizuri ukija kwenye ufafanuzi wa tchnology za nguvu za giza napo hupo vizuri-akiunganisha technolojia zote 2 anaweza kufanya makubwa
Ha ha ha huyu mshana jr anastahili kukamatwa na kupelekwa kwa nguvu paleTume ya sayansi na Tekinolojia asaidie kizazi hiki kwa Yale maujuzi yake katika kukamata mafisadi has a wale wanaojificha kwa kutumia nguvu za Giza.. Na atakapotwaliwa kwenda mbele ya haki idara ya makumbusho itafute jinsi ya kuweka kumbukumbu yake kwa vizazi vijavyo.
 
Naomba unitumie namba ya fundi wako
 

Muweke fundi hewani apige hela kuna watu wengi sana wana matatizo kama hayo.
 
Fundi aliicheki akasema tatzo ni exost, kuwa hicho kifaa kwenye picha huwa kinakua na chekecho la udongo, so kwangu huo udongo haukuwepo, ikabd tutafute tukapata la corolla, tukaweka ila bado sijaona significant improvement, hivyo jumapili tumekubaliana tufanye test kuthibitisha ulaji wa mafuta kwa sasa
 
Toyota vits rs na suzuki swift IPI IPO vizuri kwenye ulaji wa mafuta?
 
Spacio yangu inatumia litre 1 kwa km 12, sijui ni sawa?
 
Hiyo ni manfold, huo udongo kuna wakati unaziba. Sasa mafundi wetu wakiona hivyo wanauvunja na kuundoa. Sijui kama kuna njia nyingine ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…