Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

Spacio yangu inatumia litre 1 kwa km 12, sijui ni sawa?
Duh mkuu hongera sana, inakula vzr sana. Sema gari nying zenye consumption ndogo ziko chini alafu nying zina shape mbaya mf Probox
 
Nam ya kwangu inakula lita 1 kwa kilometa 7.ni landcruiser hadtop je ina tatizo?.wataalam niambie.
Diesel engine
 
Mkuu, kwa kusaidia tungeomba utuelekeze huyo fundi anapatikana garage ipi, ukifika hapo umuuluze kwa jina gani. Kwa kuwa PM inaweza kuwa ngumu kwa kila mmoja kujoin PM, hivyo ukitoa maelekezo tutakuelewa tu.
 
Engine ya petrol haina nozzle bali plugs.
Mkuu nozzle zipo. Kama ni Four Cylinder basi ziko 4,V6 ziko sita. Zina vitundu vidogo mno ambavyo kama zina uchafu au zimetanuka ni shidaa. Zikiwa na uchafu hutolewa na kulowekwa kwenye thinner, uchafu ukiwa dissolved, ukaondolewa gari inakuwa laini, ina pulling na kwa hiyo haili mafuta kabisa
 
Kuna fundi anaitwa Abuu yupo Sinza lion CCM, ndo alinilekebishia spacio yangu sasa hivi inaenda 12/L anapatikana kwa namba 0718962815
 
Naomba mtu mwenye uzoefu na gari hili spacio old model 1580cc,inakula litre 1kwa km 6,nilimpelekea fundi akaniambia plug zipo sawa. Naomba msaada nifanye nn?
Bosi ukifanikiwa toa mrejesho mie yangu ilinisumbua nikaamua kuipaki na kuiicha kwa shughuli maalum..kwenye mafuta utafikiri kuna jini mahaba ndani ya engine..niko mkoani
 
Nilifanikiwa Selekwa, fundi alibadilisha kibuyu kwenye exost kilikua kimeondolewa chekecho la udongo, now inaenda vizuri 12/L
Bosi ukifanikiwa toa mrejesho mie yangu ilinisumbua nikaamua kuipaki na kuiicha kwa shughuli maalum..kwenye mafuta utafikiri kuna jini mahaba ndani ya engine..niko mkoani

Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
 
Smart. .Leo nikipata muda nitafatilia ya kwangu. ..niliona ulikipost..au ni kitu tofauti?
 
Bosi hicho kifaa kinapatikana kwa urahisi huko Dar? Tumekitafuta huku mkoani bila mafanikio
 
Alishauri tubadili na nilipenda mie pia vilevile tutafute kingine maana chujio la udongo unalolisema halipo...tunafanya trial maana kama ni pesa nimetumia sana kujaribu kutatua hilo tatizo
 
Alishauri tubadili na nilipenda mie pia vilevile tutafute kingine maana chujio la udongo unalolisema halipo...tunafanya trial maana kama ni pesa nimetumia sana kujaribu kutatua hilo tatizo
Unaweza tuma mtu akutafutie huku ilala kwa watu wanakata magari ya ajari na mabovu

Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
 
Yangu Raum new model imenitesa sana, 1 litre 8km, mafundi wakanigeuza mtaji, kuna fundi alikaribia kununua Raum yake kupitia Raum yangu! Nimepaki kwa sasa naendesha scooter
 
Yangu Raum new model imenitesa sana, 1 litre 8km, mafundi wakanigeuza mtaji, kuna fundi alikaribia kununua Raum yake kupitia Raum yangu! Nimepaki kwa sasa naendesha scooter
Hahaha pole uckate tamaa, mafundi wanafanya kazi kwa experience tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…