lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Hilo jukwaa liko wapi mkuu?
kuna jukwaa la garage mkuu na mafundi wapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jukwaa la garage mkuu na mafundi wapo
Hilo jukwaa liko wapi mkuu?
Overhaul umemalza kazi mm nmeoverhaul rav 4 vx 1 litre around 10-12km 1770cc
mm tatzo lilikua cylnderhead.
Mkuu
Hivi ya kwako mpaka sasa imesimama fresh kabisah!?
Maana kuna maneno kuwa ukioverhaul engine lazima baada ya muda urudie tenah, naomba mrejesho kwa ya kwako maana nakumbuka story yako ilikuwa ka movie vileh ile tulijifunza sanah..
Pole sana,... tatizo la gari yako ni sensor ya mafuta, either imekufa or pipe yake imeziba .... nenda kaisafishe/ kabadilishe, nashauri nunua used ni nzuri zaidi.....,ni 5000 +- kwa used spare shops...gari mpya hiyo.Natumia gari langu dogo Toyota rav4j lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vzr, gari lenyewe lina CC1998, mwanzoni lilikuwa na racial ya 1LTR for 8km, naitaji msaada kwa mtu mwenye experience na iz gari
Nitakupa mrejesho ucjalPole sana,... tatizo la gari yako ni sensor ya mafuta, either imekufa or pipe yake imeziba .... nenda kaisafishe/ kabadilishe, nashauri nunua used ni nzuri zaidi.....,ni 5000 +- kwa used spare shops...gari mpya hiyo.
Speaking from experience
# nitaomba mrejesho .
Ulifanikiwa?Nitakupa mrejesho ucjal
Kwa hiyo mkuu unabisha kuwa Mungu hawezi au?
Mie nna noah Sr40 nayo inakunywa sana mazee
Nikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu
Hahahah kweli gari zito mjombamie shida yangu gari imekuwa nzito mwanzo ikiwa kwenye drive kama sehemu ni flat inatembea bila hata kukanyaga acceralator ila sasa haiendi hadi nikanyage, ishu nyingine rpm inafika hadi 3 na speed niko 60 tu zaman nilikuwa sizidi 2 kwa speed hiyo.